kwa nini cuf hawaendi Mbeya, Moshi, na Arusha

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,023
2,553
Nimekuwa mfuatiliahi wa hivi vyama vya upinzani kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba chama cha cuf sijawahi kuwasikia kuwa watafanya mikutano ya hadhara kwenye miji kama mbeya,moshi,na arusha.
 
Hapana mkuu, japo mi si mwana CUF lakini huwa wanaenda Mbeya, binafsi nilishahudhuria mikutano ya Prof. Lipumba eneo la Makunguru nikiwa Mby, suala la msing je wanakubalika? Jibu rahisi ni HAPANA
 
Sehem hizi zinaaelewa wengi, mambo ya kahawa na kashata hawezi na pia CUF ni chama cha kidini kumbuka hivyo (Refer matokeo ya uzini na kauli ya Ismail Juha) so maeneo hayo wanatofautisha kati ya dini na sias, yaani kama wewe uwezo wako ni mdogo kiuongozi hata kama ni wa dini yao, watakupiga chini, tofauti na maeneo ya kiswahili swahili, mpee wa dini yetu hata kama uwezo wake ni mdogo.
 
Mkuu cuf kama sikosei ni chama kikongwe, hata kama walienda mbeya labda ni mara moa tu`tofauti na lindi na mtwara cuf kwa mwaka wanakuwepo zaidi ya mara tano
 
Hapo hapo ndiyo CCM inapozidi kuwapiga gap wapinzani!Mnaabudu udini sana bila kujua kuwa hizo propaganda zilianzishwa na hao hao CCM kuwadhoofisha wapinzani,Ngoja wana-CUF nawenyewe waje wakujibu kuwa chama chako ni cha kidini!!Sijui lini tutabadilika aisee!!
 
hiyo mikoa watu wameelimika(siyo madrasa)

kuingiza udini si rahisi labda kwa maeneo

kama temeke kuelekea kusini na buguruni
 
Mkuu cuf kama sikosei ni chama kikongwe, hata kama walienda mbeya labda ni mara moa tu`tofauti na lindi na mtwara cuf kwa mwaka wanakuwepo zaidi ya mara tano

Ni kweli mie nilihudhuria miaka ya mwanzo ya 2000 hapa karibuni sina hakika, ila kwa maneno ya Jussa nadhani wanaogopa kwenda kwa wakristo, Mbeya kwa sehemu kubwa ni wakristo isipokuwa Wilaya ya Mbarari tu ndo kuna uwiano wa waislamu na wakristo. Wakija Mbeya tunataka hoja za maendeleo sio udini
 
Sehemu ambazo hakuna mtandao wa misikiti usitalie kuziona movement za CUF, hiki ni chama cha shura ya Maimamu na Baraza la Ulamaa.
 
mbeya, arusha na moshi ni mikoa iliyozikwa kitovu cha yesu, huko UDINI umeshika kasi ile mbaya, kwao wakristo analosema askofu ndio mungu, kwao udini ndio nyenzo kuu. Tatizo la Tanzania ni mfumo kristo.
 
tangu wamfukuze mzee James Mapalala hata kanda ya ziwa hawakanyagi tena!
CUF wanapendelea sana maeneo kuna vijiwe vingi vya kahawa, kama vile mikoa ya pwani na zanzibar
 
Halafu hiyo mikoa ndiyo inaongoza kwa kiti moto. Maana kule wanakula mpaka pua na makongoro ya nguruwe. Wanachoacha ni manyoya tu! Kudadaadeki
 
Nimekuwa mfuatiliahi wa hivi vyama vya upinzani kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba chama cha cuf sijawahi kuwasikia kuwa watafanya mikutano ya hadhara kwenye miji kama mbeya,moshi,na arusha.

I know this is uncalled comment

CUF wapo maeneo ya misikitini kwa wale wacheza bao na kula kashata.
 
tangu wamfukuze mzee James Mapalala hata kanda ya ziwa hawakanyagi tena!
CUF wanapendelea sana maeneo kuna vijiwe vingi vya kahawa, kama vile mikoa ya pwani na zanzibar
kwenye hivi vijiwe vya kahawa huwa wanaeneza nini hasa kwa maana nia ya chama chochote cha siasa ni kushika dola ,lakini kwa mtindo huu wa vijiweni mm
 
CUF kimejitofautisha kwa udini wake,na sasa kinajifia taratibu! ona hata huko Arumeru hakijashiriki uchaguzi mdogo
 
Halafu hiyo mikoa ndiyo inaongoza kwa kiti moto. Maana kule wanakula mpaka pua na makongoro ya nguruwe. Wanachoacha ni manyoya tu! Kudadaadeki
mkuu mbona kiti moto ndio nyama safi kwa mataifa yote yalioendelea pamoja na
uchina;huwezi ona ndio maana hii mikoa iko juu kimaendeleo
 
Nimekuwa mfuatiliahi wa hivi vyama vya upinzani kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba chama cha cuf sijawahi kuwasikia kuwa watafanya mikutano ya hadhara kwenye miji kama mbeya,moshi,na arusha.

Kama walipandwa kama ngazi pale Uzini, unadhani watathubutu kutia pua ktk jamii hizi za watu waliopata ukombozi wa kifikra??
CUF ni maiti iliyojichagulia sanda.
 
mbeya, arusha na moshi ni mikoa iliyozikwa kitovu cha yesu, huko UDINI umeshika kasi ile mbaya, kwao wakristo analosema askofu ndio mungu, kwao udini ndio nyenzo kuu. Tatizo la Tanzania ni mfumo kristo.

Kwa maana yako mikoa hiyo CUF inabaguliwa kwa sababu ni chama cha kiislam?
 
Back
Top Bottom