Wazee wako Dar es salaam tuuu, inashangaza. Kila mara wazee wa Dar, questionable | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wako Dar es salaam tuuu, inashangaza. Kila mara wazee wa Dar, questionable

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Mar 13, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Si bora aseme nahutubia Chuo Kikuu.

  Kila mara wazee wa Dar es salaam.

  Mikoa mingine hakuna wazee

  Au wazee wa Dar ndo ......
   
 2. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Wazee ndio mpango mzima
   
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Kama mtu haelewi mantiki ya kuongea na wazee wa Dar tokes enzi za Mwalimu ni heri kurudi darasa la civics
   
 4. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna tofauti kubwa sana Nyerere alipokuwa akiongea na wazee na JK huyu anapoongea na wazee! Wakati wa Nyerere ilikuwa ni mfumo wa chama kimoja na hivyo wazee wa wakati ule wengi walikuwa waanzilishi wa chama, wastaafu, wazee wenye busara na michango kitaifa, viongozi wa dini n.k. Tofauti ya JK wazee hawa majority ni wa kutoka CCM tu na wengine vigagula! hawa tena ktk mfumo wa vyama vingi unategemea nini zaidi ya kupigiwa makofi na kupakwa mafuta kwa chupa ya mgongo? Tatizo la wazee wetu wa CCM Dar ni njaa, hata kama Bw. Mkubwa zip ipo wazi hawatamwambia ila watampigia makofi na kumwambia amependeza sana!

  Nyerere (RIP) alikuwa akikutana pia na waandishi wa habari, watu wenye upeo mkubwa wa masuala mbalimblai ya kijamii na kuweza kumuuliza maswali. Alikutana pia na Wasomi wa chuo kikuu, Viongozi wa Taasisi za kidini ambao wengi wao wamepevuka kielimu na walikuwa na uthubutu wa kum-challenge alipokosea. makundi aliyokutana nayo Mwl. mara nyingi aliruhusu maswali na hivyo kuibua ideas mpya na kiongozi mzuri ndio atajua wapi ametoka, alipo na anapokwenda. hata kama zip ipo wazi walikuwa wana uwezo wa kumwambia kuwa yupo uchi ajisetiri.

  Natamani kuona Rais wangu anazungumza na makundi kama Wanaharakati, Wasomi vyuo vikuu,Waandishi wa habari, Wawakilishi wa Sekta na Taasisi binafsi, ambao wengi si wateule wake na hivyo wanaweza kumpa changamoto zitakazomsaidia kusonga mbele. Rais anahitaji kupata challenges nyingi ili zimsaidie na si kupiga vijembe Maaskofu, akina Nicholas Mgaya, Wanaharakati na wengineo ambao wangeweza kumsaidia kuboresha baadhi ya maamuzi.
   
 5. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  baraghashia zilikuwa ngapi na hijab? bado hujaelewa "wazee wa DSM" ni kina nani? kalaghabaho
   
 6. T

  Tayseer JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  :cool2: Wacha nianze kwa kufuta macho yangu wana jf, ukweli ni kwamba wazee wapo wengi sana hapa Tanzania, ila kwa nini wazee wa dar?
  Jibu ni moja wazee hawa ndio wana njaa na wapo pale kwenye kucheza bao so wao wapo tayari kuitikia lolote linalosemwa na muheshimiwa ili mradi kutimiza shibe yao, Lakini utampata wapi mzee wa kilimanjaro wakati yupo busy na mambo yake ya shamba au biashara, mzee wa mwanza yupo busy na shamba na mifugo, mzee wa kiarusha au masai yupo busy na shamba au kilimo hii inaonyesha hawato kuwa tayari kusikiliza hadithi, za kusadikika wakati kuna mengi ya kufanya kwa ajili ya uchumi wao na familia, so waache wazee wa kahawa na kashata wa enjoy kudanganywa.
   
 7. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tunamwalika na a town please
   
 8. m

  mzee wa mawe Senior Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wazee wa dar ndio waasisi wa taifa hili hata yule kijana alipotoka musoma na kikaptula na g..o..v..i lake wakamuondoa mkono wa sweta wakamfundisha kuvaa suruali na ustaarabu wakampa nchi. mjini shule
   
Loading...