Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi na ubunge wa mh. Tundu Lissu imenguruma tena leo baada ya kuahirishwa jumatatu 12/3/2012.Jaji MZUNA alitupilia mbali madai 7 ya walalamikaji(selema na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
angalizo ndugu nape yale yote uliyoyasema kujivua gamba ndani ya siku tisi kufukuzwa uanachama ndani ya chama mbona bado wapo haya tunakusubiri ndani ya arumeru ukaanze kampeni unahaabisha chama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Magamba wanahila nyingi sana katika chaguzi zote zinazofanyika wakati huu,uwe wa udiwani au wabunge.chadema tuna wanachuo wengi sana waliojiandikisha katika daftari la kupiga kura.tunawaomba wote...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Wadau leo taarifa ya habari ya TBC imenichefua sana, wamemwonyesha mgombea wa ubunge Arumeru mashariki kwa tiketi ya Chadema Joshua Nassari akikosa watu kwenye mikutano yake baada ya kuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa mfuatiliahi wa hivi vyama vya upinzani kwa muda sasa, nilichogundua ni kwamba chama cha cuf sijawahi kuwasikia kuwa watafanya mikutano ya hadhara kwenye miji kama mbeya,moshi,na arusha.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Haya maneno ya Mrema hayo wakati wa ufunguzi wa kampeni. TLP wazindua kampeni Mwenyekiti wa (TLP) Augustine Mrema amewaomba wakazi wa Arumeru Mashariki kumpa zawadi kwa kumchagua kuwa mbunge wa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Sio utani ni kweli mwalimu mwenzangu kamuuliza mtoto wa chekechea ukiwa mkubwa unapenda kuwa nani mf; daktari, mwalimu, mcheza mpira nk cha ajabu mwanafunzi kamjibu anataka kuwa FISADI. Katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
JUMANNE, 13 MACHI 2012 06:51 BENJAMIN MASESE NA GABRIEL MUSHI, DAR ES SALAAM HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete, Amesema mgomo wa madaktari ulikuwa batili, huku akiahidi kufanya mabadiliko ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Arumeru imeonyesha mabadilko makubwa kwenye siasa za Tanzania, wananchi baada ya kuhamasishwa wameamua kujitoa kwa kidogo na kingi walicho nacho ili kupeleka mtetezi wao Bwn Joshua Nasari...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini Prof Lipumba na Maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Leo nilipoenda mhimbili hospitali kumwona ngugu yangu mgonjwa nilikutana na bibi mmoja akitokwa machozi na mama mmoja alipotaka kujua kulikoni alionesha cheti cha msamaha wa matibabu na kulalamika...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
...ulipata kura 4 kati ya 2000+! This should tell you something! No wonder unatumia nguvu kutawala maana unajua kuwa uliwekwa na NEC na sio kwa kura halali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vicent Nyerere kapasua jipu la muda mrefu lililonyamaziwa pengine na familia juu ya Rais wa awamu ya 3 kuhusika na kifo cha Mwalimu Nyerere,je Mtoto wa baba wa taifa Bw makongoro ambaye yupo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa cuf ambaye ni mwenyekiti wa jopo la wanauchumi duniani atawahutubia wanainchi na wakazi wa Dar es salaam siku ya jumatano tar 21.3.2012
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Si bora aseme nahutubia Chuo Kikuu. Kila mara wazee wa Dar es salaam. Mikoa mingine hakuna wazee Au wazee wa Dar ndo ......
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tukiwa tunaelekea kwenye kile kinyan'ganyiro cha uchaguzi wa wabunge Arumeru Mashariki sisi wapiga kura hatutapenda kuona matukio kama haya!
3 Reactions
15 Replies
2K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU Anwani ya Simu: “WAZIRIMKUU” S.L.P. 3021 DAR ES SALAAM...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau wapo watanzania wengi sana wanafanya mambo makubwa sana na kugundua mambo ambayo yangeweza kusaidia taifa letu katika nyanja mbalimbali lakini hakuna anayewatambua. mfano ni huyu ndugu yetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa nilizopokea usiku huu (majira saa 5: 23) na kuthibitishwa na Mbunge wa Chadema Jimbo la Ilemela Haines Kiwia, zinadai Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM Jacksoni Masamaki ametiwa mbaroni...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Kikwete amekuwa madarakani kwa miaka sita. Alipoingiaalipendwa na kila mtu hata maadui zake.Je bado Kikwete ni yule yule au kalewa madaraka na kuharibikiwa? Hii ni kurayangu ya maoni juu ya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom