CUF isishirikiane na CHADEMA milele

in and out

Member
Jun 30, 2011
69
6
cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini Prof Lipumba na Maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini chama cdm kilipopata nguvu kidogo na kutimiza idadi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni kimeleta ubaguzi mkubwa, na hii yote inatokana na asili ya muasisi wa chama hicho tunajua anatoka sehemu gani na wafuasi wake, pamoja na kusaidiwa na taasisi moja ya kidini bado chama kinaendelea kujichafua mbele ya macho ya jamii kwa jinsi hii cuf wasifikirie wala kudhani kushirikiana na chama hicho.
 
cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini prof lipumba na maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini chama cdm kilipopata nguvu kidogo na kutimiza idadi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni kimeleta ubaguzi mkubwa, na hii yote inatokana na asili ya muasisi wa chama hicho tunajua anatoka sehemu gani na wafuasi wake, pamoja na kusaidiwa na taasisi moja ya kidini bado chama kinaendelea kujichafua mbele ya macho ya jamii kwa jinsi hii cuf wasifikirie wala kudhani kushirikiana na chama hicho.

rip cuf
 
cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini Prof Lipumba na Maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini chama cdm kilipopata nguvu kidogo na kutimiza idadi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni kimeleta ubaguzi mkubwa, na hii yote inatokana na asili ya muasisi wa chama hicho tunajua anatoka sehemu gani na wafuasi wake, pamoja na kusaidiwa na taasisi moja ya kidini bado chama kinaendelea kujichafua mbele ya macho ya jamii kwa jinsi hii cuf wasifikirie wala kudhani kushirikiana na chama hicho.

Ni bora muendelee kushirikiana na CCM iliyowauwa makumi ya wafuasi wenu huko Pemba bila hata ya kuomba radhi huko kwenu. Mkishika madaraka nanyi mtakuwa kama wao katika kuuwa wapinzani wenu kwani ndege wa unyoya mmoja huruka pamoja. Kweli CUF mtakuwa mmemalizika, basi hata katika kufikiri?
 
cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini Prof Lipumba na Maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini chama cdm kilipopata nguvu kidogo na kutimiza idadi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni kimeleta ubaguzi mkubwa, na hii yote inatokana na asili ya muasisi wa chama hicho tunajua anatoka sehemu gani na wafuasi wake, pamoja na kusaidiwa na taasisi moja ya kidini bado chama kinaendelea kujichafua mbele ya macho ya jamii kwa jinsi hii cuf wasifikirie wala kudhani kushirikiana na chama hicho.
duh! Chadema jitafakarini.
 
Kejeli, ubaguzi na utoto wa wafuasi wa CDM umenifanya nikichukie chama hiki kuliko mtoa roho!
 
Huyomwenye mke kama kweli ni mkewe mpaka sasa basi ni bwegge, mke gani anadai kuibiwa wakati wa uchaguzi tu?

Jamaa alikuwa kimya kwa muda wa miaka 3 hajui mama anakula nini anavaa nini na anishi wapi.
Ile kuja uchaguzi watu wa kijani wakampa michuzi adai mke wake akadai kwa nguvu kweli huku akishirikiana na Wanasiasa wakongwe wa siasa za mipasho.
Uchaguzi umeisha jamaa hata hajui kwamba alikuwa anadai kaibiwa mke.
Lakini mashabiki na wapenda vijambo bado wanadai mke wa jamaa huyu kama vile walikuwa shirika katika ndoa??

Mwenyewe anasubiri 2015 akipata Fungu namba 1 anaanza madai yake ya mke tena. What a shame?

Ndoa ya mkeka kati ya CUF na CCM ni ndoa ya waume wengi na wake wengi patamu hapo Yakhe??

mbona katibu wenu mkuu anashirikiana mambo ya kikubwa na mke wa mtu.Angalia domo lako waweza kutukana au kukashifu wazee wako
 
Kaoge kwanza ndipo utoe povu lako lililosafi humu jf....cuf ni maiti inayotembea na hivyo kugoma kuingia kaburini...kushirikiana na maiti ni kujinajisi...we unadhani cdm ni chama cha kushirikiana na cuf...level za chadema sio za ubunge kama cuf bali ni za kushika dola....wewe umepotoka na kama ulivyosema haitatokea cdm ishirikiane na cuf..
 
dua za vinega hizo,cuf bado ngangari.Umeona mapokezi ya profesa wa ukweli hadi mzinzi naye kaenda kujipitisha aonekane

Ninyi mnachojua ni mapokezi.Hivi mna wabunge wangapi Dar? Nasikia mko kwenye ratiba ya kumkampenia mgombea wa magamba Arumeru.
 
cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini Prof Lipumba na Maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini chama cdm kilipopata nguvu kidogo na kutimiza idadi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni kimeleta ubaguzi mkubwa, na hii yote inatokana na asili ya muasisi wa chama hicho tunajua anatoka sehemu gani na wafuasi wake, pamoja na kusaidiwa na taasisi moja ya kidini bado chama kinaendelea kujichafua mbele ya macho ya jamii kwa jinsi hii cuf wasifikirie wala kudhani kushirikiana na chama hicho.

Mkuu tangu lini GIZA likashirikiana na MWANGA? Giza limeshirikiana na giza ndo maana wanaelewana si CUF tu hata CCM ni giza hatuwezi kushirikiana nalo.
 
Back
Top Bottom