Makongoro Nyerere utakubali kutumika na mafisadi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongoro Nyerere utakubali kutumika na mafisadi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DALLAI LAMA, Mar 14, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Vicent Nyerere kapasua jipu la muda mrefu lililonyamaziwa pengine na familia juu ya Rais wa awamu ya 3 kuhusika na kifo cha Mwalimu Nyerere,je Mtoto wa baba wa taifa Bw makongoro ambaye yupo against mafisadi akiwa ni mjumbe wa juu wa ccm atatumika kusafisha hali ya hewa kwa niaba ya familia dhidi ya mkapa?..tujadili
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  UMETUMWA NA AKINA nape na chiligati?
   
 3. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 10,009
  Likes Received: 10,201
  Trophy Points: 280
  Ninavyomjua Makongoro sio mganga njaa labda aanze sasa. Lakini piga ua hilo suala kwenye familia ya JKN linaeleweka vizuri. Sasa yeye Mkapa atajua namna ya kupooza wangalau sasa kama watamtumia Makongoro ama yoyote kwenye hiyo familia kukanusha hili haijalishi maana watanzania wa sasa sio wale wazamani waliokuwa wakiambiwa nyeusi ni nyeupe wanakubali. Chochonde familia ya JKN msiingilie hii movie mpaka tunyooshewe maelezo hata kama si sasa ni 2015 na uwaziri wa mambo ya ndani anapewa V. Nyerere ili aweze kufuatilia vizuri hili faili. Ni bora akaomba msamha sasa kuliko kungoja huko.
   
 4. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  CHADEMA wanaendelea kuitesa CCM kwa kuzidi kuibua kashfa moja baada ya nyingine,mpaka sasa chama cha mafisadi kinazidi kuwa katika wakati mgumu.
   
 5. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwanza nikupongeze kwa tahadhari hii! Makongoro akumbuke mwaka 1995 pale viwanja vya Uhuru mchanganyiko DSM wakati wa kufunga kampeni alisema hakuna anaye ijua vizuri Ikulu pale kama familia yao,pamoja na mengine mengi,ni muda mwaka kwa kaka Makongoro kusimama ktk kweli na kutetea haki dhidi ya dhuluma na unyanyasaji wa kisiasa,kijamii na kiuchumi.
   
 6. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mwacheni Mlevi wetu Makongoro aendelee kupata kinywaji chake, mbona hayo hayamhusu
   
 7. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Hii connection/relationship kati ya Ben Mkapa na Balozi Mpungwe si kitu cha kupuuzwa,Mpungwe amevuma saana baada ya Mwalimu kufariki,akastaafu na Ubalozi kwa hiyari na kuja kuwa wakala(muuza nchi) wa Makampuni na wawekezaji(wezi) wa Afrika kusini.Mara akawa board chairman wa NBC,akaleta AFGEM(Tanzanite One),yuko Multchoice and in every mother****ing south African dirty stuffs.Na inasemwa aliposikia Mwalimu kaaga dunia kule London the guy was mighty happy,yaani walikunywa Champaign na washikaji zake huko SA.
   
 8. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nilikuwa safari ndo nafika ngoja kwanza nitue mizigo
   
Loading...