Prof Lipumba kunguruma viwanja vya Mwembe Yanga tar- 21/3/012

woyowoyo

Senior Member
Jul 24, 2011
173
12
Mwenyekiti wa cuf ambaye ni mwenyekiti wa jopo la wanauchumi duniani atawahutubia wanainchi na wakazi wa Dar es salaam siku ya jumatano tar 21.3.2012
 
Sawa lakini msikodi magari ya kuleta watu, kama watu wanampenda watakuja wenyewe! Haina sababu ya kusomba watu kuja kwenye mkutano!. Tuache srasa za uchuro.
 
Mwenyekiti wa cuf ambaye ni mwenyekiti wa jopo la wanauchumi duniani atawahutubia wanainchi na wakazi wa Dar es salaam siku ya jumatano tar 21.3.2012
hivi kwa nini Lipumba sijawahi kumsikia kuwa ataenda kuhutubia Arusha,.Moshi ama Mbeya
 
Mwenyekiti wa cuf ambaye ni mwenyekiti wa jopo la wanauchumi duniani atawahutubia wanainchi na wakazi wa Dar es salaam siku ya jumatano tar 21.3.2012

Umesahau pia ni mgombea wa urais aliyeshindwa mara nne mfululizo:1995,2000,2005 na 2010
 
Mwenyekiti wa cuf ambaye ni mwenyekiti wa jopo la wanauchumi duniani atawahutubia wanainchi na wakazi wa Dar es salaam siku ya jumatano tar 21.3.2012
Hivi huu ujinga mwingine utawaisha lini? ni nani aliyekudanganya kwamba dunia hii kuna cheo cha mwenyekiti wa jopo la wanauchumi? unaweza kusapoti hoja yako?

Safari yake nchini Marekani

Akizungumzia safari yake ya Washington nchini Marekani, ambayo alikaa huko kwa takriban miezi mitano, alikokwenda kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu demokrasia na maendeleo, utafiti ambao ulilenga kuleta demokrasia itakayoleta maendeleo na ajira katika nchi za Afrika, alisema katika utafiti alipata nafasi ya kutoa mjadala kuhusu miaka 50 ya Uhuru Tanzania na hatua ya maendeleo ambayo nchi imeifikia.
 
Nikumbuka walikodi chopper na wao wakaenda nayo Igunga kwa kauli zile zileee..NGANGARRRRRIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.......kura 2000.kulaladek..nacheka mpaka machozi yananimwagika
 
Hivi huu ujinga mwingine utawaisha lini? ni nani aliyekudanganya kwamba dunia hii kuna cheo cha mwenyekiti wa jopo la wanauchumi? unaweza kusapoti hoja yako?

Safari yake nchini Marekani

Akizungumzia safari yake ya Washington nchini Marekani, ambayo alikaa huko kwa takriban miezi mitano, alikokwenda kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu demokrasia na maendeleo, utafiti ambao ulilenga kuleta demokrasia itakayoleta maendeleo na ajira katika nchi za Afrika, alisema katika utafiti alipata nafasi ya kutoa mjadala kuhusu miaka 50 ya Uhuru Tanzania na hatua ya maendeleo ambayo nchi imeifikia.

Hawatakuelewa hao mkuu.. Wameshaamini hivyo labda Maalim awaambie siyo.. Mwenyekiti wa Jopo la wachumi Duniani.. Ina maana Wachumi toka America.. China.. Brazil.. Europe na Asia Prof. ndo Mwenyekiti wao.. Duh..
 
Hiyo ni mpya waliyokuja nayo, zamani walikuwa wanasema Elimu aliyo nayo Lipumba duniani wapo 3 tu! u can imagine Profesa mzima na yeye anajisikia raha kuongoza kundi la mazuzu, hivi huyu angekuwa Rais si hata shule asingetaka zijengwe ili watu wazidi kuwa wajinga?

Aende kwao Tabora uone kama kuna mnyamwezi wa kupoteza muda wake kwa kumpokea Lipumba, unajuwa nitatoa mfano hai bila ushabiki, inapendeza unapoongoza chama basi ni lazima uanze kuungwa mkono kwenu ulipozaliwa, mfano mzuri Jakaya Kikwete, Freeman Mbowe na Dr Slaa, watu hawa 3 sehemu walizozaliwa wana afya nzuri za kisiasa, sasa huyu Profesa asiyekuwa hata na nyumba kwao Tabora ni mwasiasa wa aina gani?
 
Back
Top Bottom