Kwa wanachadema wote walijiandikisha katika daftari la wapigakura makumira university | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanachadema wote walijiandikisha katika daftari la wapigakura makumira university

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by massai, Mar 14, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Magamba wanahila nyingi sana katika chaguzi zote zinazofanyika wakati huu,uwe wa udiwani au wabunge.chadema tuna wanachuo wengi sana waliojiandikisha katika daftari la kupiga kura.tunawaomba wote wale wenye mapenzi na mabadiliko katika taifa letu la tanganyika popote pale walipo pasipo kujali gharama za usafiri tunawaomba mjitokeze siku ya upigaji kura tulitokomeze dubwana magamba katika uchaguzi huo.kura yako moja ni muhimu sana kuliko kitu chochote kile katika sanduku la kura.tunaomba uongozi wa chadema upige promo yakutosha.wanachuo hao wengi walisha hitimu masomo yao na wako sehemu mbalimbali hapa nchini,magamba wanajitapa kuwa wameshafanya riseach nakugundua kua wengi wa wapigakura wa chadema ni wanavyuo na wengi wao wamesha hitimu na hawako meru tena.kada mmoja wa magamba alikua akiongea kwa kujiamini sana leo jioni.
   
Loading...