Taarifa kwa umma kuhusu tahadhari ya mvua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa kwa umma kuhusu tahadhari ya mvua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msanii, Mar 14, 2012.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,418
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180

  My Take:
  Serikali imejipanga vipi kusafisha njia za maji zilizozibwa? Kama inawahamasisha watu kuhama mabondeni, je maji yakishajaa huko yana pa kwenda?
   
 2. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ngoja nihame bonde la msimbazi kabla mambo hayajaharibika
   
 3. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,369
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Mkuu ktk hali ya mitaro kuziba maji hupanda hata milima yakitafuta pa kupitia
   
 4. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,768
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  bie maeneo yatakayotarajiwa kuathirika zaidi ni mikoa gani ili tusafiri kwa tahadhari?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Wawalipe wale wakazi waliowadhurumu viwanja mabwepande!
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  yaaani nimefungua kwa speeeed nikajua mkapa katoa press release kumbe ni haya kwaherrrrrrrrrrrrr:hand:
   
 7. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,457
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Matamko tu hamna utekelezaji
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Usanii tu huo mifereji imeziba hata kuzibua wanashindwa wao wanakalia matamko tu
   
 9. m

  mtume pauli Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli hii serikali inashangaza, yaani inasubiri hadi dakika ya mwisho mvua zimeshaanza ndo wanatoa tahadhari. zile sehemu za barabara korofi wakati wa mvua kama msasani pale TMJ hospital, kawe round about, barabara ya tambaza sec, pale kijitonyama na maeneo mengi nisikopita hamna kilichofanyika wkt inajulikana ikinyesha kidogo tu hakupitiki. kweli nami nimeamini serikali imelala fofo.
   
 10. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Huree mapumziko ya kazi yanakuja........wasizibue hiyo mifereji pliiiizz...
   
Loading...