Kikwete, 2010 Kuna Kituo Kaloleni.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete, 2010 Kuna Kituo Kaloleni..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtoboasiri, Mar 12, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...ulipata kura 4 kati ya 2000+! This should tell you something! No wonder unatumia nguvu kutawala maana unajua kuwa uliwekwa na NEC na sio kwa kura halali.
   
 2. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  kwa nini unaandika post kana kwamba kila mtu yupo kichwani kwako na kujua unachofikiria! kwa nini usiandike maana yako kwa weledi kichwa cha habari kiungana na habari yenyewe na kuwe na mwanya wa kujadili, sasa hii thread yako imekaa tangazo si tangazo, agizo si agizo lalamiko si lalamiko halieleweki,. wahusika wawe wanachuja na kutupa kapuni thread za aina hii!!
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kama hukuelewa ni kwa kuwa wewe ni kilaza. Na hilo si kosa langu, it is your own loss!
   
 4. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kata ya Rasi
   
 5. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mkuu umemnyima mtu usingizi! Hapo slipped anajiuliza namna ya kufikisha ujumbe kwa namna itakayokubalika!
   
Loading...