Watanzia wenye vipaji vya hali ya juu hawa hapa,nani anawatambue?,wengekuwa wazungu mngewatambua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzia wenye vipaji vya hali ya juu hawa hapa,nani anawatambue?,wengekuwa wazungu mngewatambua!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Mar 14, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wadau wapo watanzania wengi sana wanafanya mambo makubwa sana na kugundua mambo ambayo yangeweza kusaidia taifa letu katika nyanja mbalimbali lakini hakuna anayewatambua.

  mfano ni huyu ndugu yetu alitengeneza Division Calculator for CSEE & ACSEE ni mtoto wa kitanzania tena mwenye elimu yakawaida sana na wengine wengi,ambao naomba nawe uwaweke hapa na vitu walivyofanya ili kuwakumbusha hawa jamaa kuwa vipaji huwa vinaibuliwa siyo kusubiri kuletewa tu.
   
Loading...