Mwanga mpya wa demokrasia umewaka, kitovu chake ni Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanga mpya wa demokrasia umewaka, kitovu chake ni Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mtumishi Wetu, Mar 14, 2012.

 1. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Arumeru imeonyesha mabadilko makubwa kwenye siasa za Tanzania, wananchi baada ya kuhamasishwa wameamua kujitoa kwa kidogo na kingi walicho nacho ili kupeleka mtetezi wao Bwn Joshua Nasari bungeni!!!! Wameamua kumchangia kidogo kidogo ili aweze kuhimili mikiki ya kampeini bila kutegemea nguvu za mamluki mafisadi na fedha za rushwa!!! Je inawezekana huo ukawa ni mwanzo na njia sahihi ya kutokomeza rushwa na ufisadi Tanzania????????????? Nawasilisha!!!!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Exactly!
  Ogopa sana mwananchi anapotoa shiing 200 yake kusaidia kampeni!
  Amini usiamini, mtu huyo hawezi kukipigia kura chama tofauti na kile alichokichangia jasho lake!
  Msemo wa KULA CCM, kura upinzani unaanza kufanya kazi live!
   
 3. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kama ni hivyo Mkuu PJ huoni kwamba mpango wa kuwapa watu rushwa eti wakuchague unafikia ukingoni??? Watu wameishajua ubaya wa rushwa ya uchaguzi, kwamba unazimwa kwa miaka mitano watu wanaendelea na kutanua kwa sababu ulinunuliwa zamani!!!!!!

   
 4. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hata kampeni za nchi za ngambo raia ndio wanamsapoti mgombea tofauti na afrika
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Na wale waliowapa million 100 mmewasahau?
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 7. m

  mob JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  ninasema maendeleo yataletwa na sisi wenyewe. kuchangia kampeni nakuona kwa hali mbili. moja ni kwamba wananchi wanaimani na chama cha chadema na wako tayari katika kukifanya kichukue dola
  pili wananchi wamechoshwa na kupewa fedha ambazo huwa hazizidi kiasi cha mia tano hivyo wao wenyewe wemeona bora watoe fedha zao ili kuhimiza maendeleo kwa kumchangia na kumwezesha mtu wanaemtaka achukue dola.

  angalizo.
  ili kujenga imani nzuri kwa jamii ni bora at the end of the day chadema kisema kimekusanya kiasi gani na eneo gani na fedha hizo zimetumikaje katika kampeni hapa ni kuweka uwazi mbele.Jambo la kuzingatia wasitumie fedha zinazochangwa na wananchi kwa ajili ya kulipana posho hili litaleta balaa kwa jamii na kuondoa imani kwa wananchi.

  nionavyo arumeru.
  ni vyema viongozi wa chadema na wanachama wa chadema wakatumia fursa hii adimu kuwaambia wananchi wa arumeru waogope sana ccm.Kama rais mstaaffu ndo alizindua kampeni na kutaja matatizo yanayowakumba watu wa arumeru kwa nini hakusema yeye akiwa kama rais alishindaje kuyatatua,pili sumari(rip) alikuwa naibu waziri wa fedha alishindwa kuyatatua haya matatizo iweje mtoto wake ambaye ni mwanachama wa kawaida aweze je hakuweza kutumia mda huo kumshauri baba yake ili aweze kuyatatua.hivyo chadema tumieni fursa hii kuwaelimisha wananchi kuhusiana na hili jambo
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Je rushwa ni kutoa pesa au hata kupokea pesa? Je Nassari hakuwa na pesa za Kampeni au anawahadaa wananchi wa Arumeru? Je ni kweli kwamba wananchi wana maisha magumu? kama ni kweli kwa nini tuwanyang'anye hata kidogo walicho nacho? kuwahadaa wanachi wakuchangie fedha wakati unazo ni rushwa ni sawa na kuomba michango kuwa umefiwa kumbe hujafiwa. Je CHADEMA wanataka kutuambia watanzania kuwa kujifanya kuwa hawana fedha ndiyo sera kuu ya kuwapa ushindi?. Ni dhahiri kwamba CDMA mnatumia kivuli cha kutembeza bakuli ili kumtumia gharama nyingi kwenye kampeni na hivyo msishtukiwe na NEC. Tendwa mulika huko.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huwezi kumchapa viboko mtu mzima ukimlazimisha amchukie adui yako wakati kweke yeye ni lulu. Wananchi wa Arumeru tusidanganyike na hila hizi za Chadema. Walikuwa na kachumbari yao ya ufisadi ikachacha, wakaja na Chachandu ya CCM wanaiba kura wakawa wamezidisha chumvi sasa wameamua kuwakamua kwa kuwaomba muachangie fedha, wakati tayari mlishawachangia na wanazichukua kupitia ruzuku na sijui kama wanalitambua hilo kuwa ruzuku ni kodi zetu.
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwa nini kwenye kupokea hundi na vitu vingine huwezi kumuona Zitto na wengine? si ni naibu katibu Mkuu? sasa huyo Slaa kama anaumwa mkono kwa nini asiwakilishwe na Zitto? Ama kweli SAIDIA CHADEMA SLAA NA MBOWE WATAKATE
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  FREEMASONS utawajua tu, hakuna kuangaliana machoni
   
 12. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Sabodo sio fisadi ni mkereketwa wa demokrasia ya mageuzi Tanzania ndio maana akachanga hizo million mia moja na si kwenye kampeini bali kuendeleza chama cha mabadiliko!!!!! Mwaka huu ni wa mageuzi hamna pa kutokea wananchi wamewachoka Tanzania!!!!!!!

   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Omba omba...
   
 14. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Sugu1 wacha ushamba hao watu wa Arumeru wanajua fika kuwa kijana wao si fisadi hana fedha za kumwaga, hivyo wameamua kumchangia ili ashinde kwenye kampeini za Urumeru awakilishe shida zao huko bungeni!!!!! Kwa maana nyingine watu wamechoka kupewa vtisheti na cap na wali na ngoma za mdundiko ili wachague mtu asiye na faida yoyote kwao!!!! Kwa muendelezo huo hata kwingineko Tanzania wataamuka na kujua kumbe walikuwa wanaibiwa kwa rushwa ya mafisadi kuwapumbaza waendelee kudhulumu mali za Watanzania!!!!!! Njia ya kujikomboa ni kujichangisha wenyewe tuweke watu wetu bungeni watuteteee tuondokane na dhuluma za mafisadi!!!!!!

   
 15. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkuu Rejao umetokea wapi, nyinyi mnangoje Rostamu ni Manji watoe fedha zao ndipo mfanye kampeini????????????Wameru wanachanga wenyewe kaka wapeleke kijana wao njengoni wewe unaonaje poa????

   
 16. m

  mob JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu.watu wa arumeru si kama watu wengine unaowafahamu ni watu wenye msimamo na wanaamini wanachokisema.vuta kumbukumbu yako kwenye ule mgogoro wa kidni uliotokea meru na madhara yake kwa wananchi.naomba mwenyezi mungu atutangulie katika hili ili uchaguzi uishe kwa amani ninachoshukuru chadema wamemweka natse kuwa maneja kampeni kwa vile anajulikana sana kule na wananchi wanamjua kwa undani
   
 17. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Wamechanga wenyewe sio kukwapuliwa kama baba zako wanakwapua aridhi watu wa Meru wamewastukia, imekula kwenu!!!!!

   
 18. m

  mob JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  sugu1. once bob marley said emancipate yourself from mentaly slavery non but ourselves can free our mind. nadhani wananchi wa arumeru wameanza kujikomboa kifikra wenyewe kwa kuelewa kuwa wanaowachagua ndo hao wnakuja kuuza ardi yao.sasa wao wameamka wanamtaka mwingine ili akawatumikie
   
 19. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,663
  Trophy Points: 280
  Za nini?na zimetolewa lini?halafu nani kazitoa?kumbuka hapa tunaongelea uchaguzi wa Meru.
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Una uhakika gani kwamba hajapokea fedha kubwa yoyote? Hiyo ni siri ya mgombea.
   
Loading...