Nape, unapambana na ufisadi au unajiunga nao ili upate ubunge 2015? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape, unapambana na ufisadi au unajiunga nao ili upate ubunge 2015?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king86c, Mar 14, 2012.

 1. k

  king86c Senior Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  angalizo ndugu nape yale yote uliyoyasema kujivua gamba ndani ya siku tisi kufukuzwa uanachama ndani ya chama mbona bado wapo haya tunakusubiri ndani ya arumeru ukaanze kampeni unahaabisha chama kama siasa uwezi iwache au jiunge upande nnawo
   
 2. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Mgombea wa CCM Arumeru ni Sioi. Igunga Nape alipigwa marufuku asikanyage asije akamchefua RA na bila shaka Arumeru pia hatakanyaga asije akawachefua watu. He now has only one choice, if you cannot fight them...join them. Angesoma sayansi angejua maana ya neno "inertia" - to do work you have to overcome inertia otherwise work done remains NIL. Sisi waswahili tunasema, kagonga ukuta au kaukwaa kisiki.
   
 3. P

  Pelege Senior Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu NAPE ni vuvuzela,huwezi kupinga ufisadi ukiwa ndani ya CCM.
   
 4. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uyo kilaza Nape nani atampa Ubunge, ameshindwa kuongoza kikundi kidogo cha wauni wa CCM sasa itakuwa Jimbo? ata akichakachua apati kitu.
   
 5. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Nilizani Nape kazi yake ni uenezi na sio kufanya maamuzi ya chama. Sishangai waiter/waitress ndiye anayelaumiwa kama chakula anacholeta mezani nikibovu ingawa kazi yake sio upishi; na alivyojasiri bado atapokea lawama zote za ubovu wa chakula nakuwaomba radhi wateja! Call a spade a spade.
   
Loading...