Mitambo ya Dowans Symbion yafungwa Arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitambo ya Dowans Symbion yafungwa Arusha.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrah, Mar 14, 2012.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Jana nilipitia kwenye sub station ya Njiro Arusha. Kwa mshangao (maana sijasoma popote kama Symbion wanafunga mitambo mingine ya kufua umeme Arusha) nikakuta mitambo ipatayo ishirini yenye nembo ya minine ya symbion imefungwa, ingawa haijaanza kufanya kazi.
  Leo nimesikia kutoka magazetini kuwa giza haliepukiki, au ndo maana symbions wamefunga mitambo mingine kukabili dharura isiyoisha kila mwaka?
  Nasema mitambo mingine kwa kuwa sijasikia kama ile ya Ubungo imeng'olewa au kuhamishwa.
   
 2. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbona kitambo
   
 3. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Poor TZ [Shamba la bibi]
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hiyo kandarasi ya kufunga mitambo Arusha hao Symbion waliipata lini?
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Nchi ya madili hii, subiri wapime ardhi ndiyo tutakapokuwa wapangaji wa milele kama nchi za asia!!
   
 6. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  imefungwa pembeni mwa chuo cha uhasibu (IAA),kama unaelekea ofisi za worldvision
   
 7. H

  Haika JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ni ya mafuta gesi au makaa? Source ni wapi? Anasafirisha nani?
   
 8. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Makamba ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya madini na nishati. Zitto ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mashirika ya umma. wote hawa suala la umeme linazigusa kamati zao. sijui wana majibu gani kuhusu serikali (TANESCO) kushindwa kununua mitambo yake ilhali inaweza kukodi kwa gharama ya 152 m kwa siku kama ilivyokuwa kwa richmond. Nauliza hawa wawili specifically kwa kuwa naamini kuwa ni vijana wenye uchungu na tatizo la umeme ambalo limekuwa sugu kwa taifa.
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Zitto alipinga sana serikali kununua mitambo ya Dowans, symbion wakaja wakanunua sasa tutaona joto ya jiwe bei wanayotu charge kwa unit ni balaa. Wabunge wetu walisema hiyo mitambo mitumba hahaha poor country poor ppl
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Duh!

  Labda yale pale Ubungo yameteguliwa wakaleta hapa A town!
  Ngoja tutajua muda si mrefu!

  Wanainchi tuna hasara sana na chama cha mafisadi!
  Ila nina IMANI sala za Watanzania siku si nyingi zitajibiwa na Mwenyezi MUNGU mtetezi wetu aliye hai!
   
 11. ndegeulaya

  ndegeulaya Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu,

  The last time I checked, sidhani kama Zitto aliipinga hii, but to the contrary, nadhani ni yeye ndiye aliyeshauri sana mitambo hii inunuliwe na serikali, ila akawekewa ngumu!
   
 12. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hicho ndicho kimenifanya nitue jamvini ili kina Rejao et al watujuze.
  Yaani miaka minne bado tuko kwenye dharura! Dharura gani hiyo ya miaka minne mfululizo?
   
Loading...