......Leo kwenye kipindi chao kinachorushwa kuanzia saa saba mchana kinachoitwa Dira ya mchana,TBC1 wametangaza habari ambayo naweza sema kuwa ni propaganda chafu zinazotumiwa na CCM kudhoofisha...
Wakati CDM walipokuwa wakizindua kampeni zao kwa mbwembwe za helikopta ambapo Mbowe alisema wazi kuwa helikopta hiyo ndio itatumika kwenye kampeni . Imedhihirika wazi kuwa helikopta hiyo inatumika...
Wasira amekuwa akimshambulia Dr silaa na vicenti nyerere kama wao ndio wagombea,anasema sioi ataleta maendeleo kama wasira anaelewa maendelleo mbona kwake hakuna? jimbo lake linapakana na ziwa...
Sio mbaya kumfahamu ni Nani huyu.Aliye nielewa atanisaidia.Ni mtoto au mdogo wake.Bahati mbaya sina picha yake.Nimemwona naye yupo arumeru kwenye mapambano
Sio siku nying nilisema mh Lowasa anapaswa kujibiwa.
Leo ktk taarifa ya habari TBC1 Napenda kunuku maneno ya Mh Glaudensia Kabaka waziri wa Vijana na ajira. "Sii kweli kwamba serikali imesema...
Kuna mjadala uliokuwa hapa jf ukihusisha Tanzania kunyimwa misaada kutoka kwa cammeron (PM ), pia leo huo mjadala unaendelea.
Lakini Nipashe ya leo tar 22/3 yaonesha Tanzania imepewa msaada wa...
Ndugu wanaJF ni kwamba hali ya amani ndani ya kijiji cha Kakola kilicho jirani kabisa na mgodi wa dhahabu wa BARRICK BULYANHULU GOLD MINE imetoweka gafla baada ya polisi kuwatawanya wanafunzi wa...
Wakuu nasikiliza Clouds FM arusha, nimesikia tangazo ambalo Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Mh. Mbowe akiwakaribisha wafuasi wote wa chadema ktk harambee ya...
Naomba wanabodi mnijuze sababu zinazo mfanya mtu kama wassira kuiacha ofsì yake na kwenda kwenye kampeni za chama kwa muda mrefu.Yeye ni waziri akiwa ni sehemu ya serikali,huko aliko mi navyoona...
Uzinduzi wa Campaign za urais au udiwani??? Mwanza nimewakubali!
Jionee mwenyewe... Peopleeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzz zzzzzzzzzzzzzzzzzz
http://yfrog.com/17yuhz
Laana ni kitu kibaya sana. Mtu anapolaaniwa hufanya mambobila kufikiri kuwa ni yeye anafanya!
Wakati mwingine laana humfanya mtu aonekane kama taahira ama kichaa!!!,
nasema hivyo kwa kuwa...
Jaji lubuva amefunguka leo mbele ya waandishi wa habari na kutishia kufuta kampen kwa chama kitakachofanya kampen chafu.
SWALI. LEO LUBUVA AMEKUA MWEMA KIAS HICHO AU ANAKWEPA MAKOMBORA...
Siku ya kwanza Mh. Ole Sendeka alipopanda jukwaan kule Arumeru kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM yalisemwa mengi ikiwepo na kutoa mtazamo wa fikra zetu ya kuwa Mh.Ole Sendeka...
Jamani wakuu mwenye kujuwa maana haambiwi maana, hapa Lipumba anaonesha wazi kwamba yeye ni mwenyekiti jina tu hana mamlaka yote ndani yya Cuf isipokuwa Maalim Seif. ebu jisomee mwenyewe...
Nashindwa kuwaelewa hawa viongozi wa CCM
Wamekwenda Arumeru kuwaeleza wananchi namana watakavyowaletea maendeleo au kuzungumza maisha binafsi ya wapinzani wao? Hawa ndiyo tunatarajia wawaletee...
Kuna mambo mengi nimejifunza kutokana Kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru, Haya ni baadhi yake.
Tume ya uchaguzi bado haiaminiki na vyama vya Upinzani. Na kadri siku zinavyokwenda...
ccm wamegundua hawatashinda uchaguzi arumeru wameamua kutafuta njia mbadala za ushindi,njia mojawapo ni hii wameandaa vituo hewa vya kupigia kura 67.nadhani hv vituo hewa ndo vitakua na yale mabox...
Katika wiki ya pili ya kampeni uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru East vyama vya siasa vimeendelea kuwanadi wagombea wao kwa wapiga kura wa jimbo hilo. Hadi kufikia sasa CCM ndiyo chama pekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.