Viongozi wa CCM mnawaza nini?

nginda

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
744
82
Nashindwa kuwaelewa hawa viongozi wa CCM

Wamekwenda Arumeru kuwaeleza wananchi namana watakavyowaletea maendeleo au kuzungumza maisha binafsi ya wapinzani wao? Hawa ndiyo tunatarajia wawaletee wananchi maendeleo ua?


Mkapa: Kiongozi aliyewahikuwa kiongozi wa nchi ( Vicent nyerere siyo mwanafamilia wa nyerere)

Wasira (Waziri) Slaa aliiba sadaka?


Hayo na mengine wanayozungumza majukwaani ndiyo maendeleo yanayotarajiwa kwa wana Arumeru?


wananchi wa arumeru wanapaswa kufikiri kwa makini na kujua pumba na mchele.
 
Back
Top Bottom