uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiyejua kuwa Mgombea kupitia CDM alishinda ubunge sumbawanga Mjini,mkurugenzi alipata wakati mgumu kutangaza hilo hadi Mizengo alipo ingilia kati na kushinikiza...
Na Mwandishi Wetu
MIAKA 50 ya uhuru wa Tanganyika imetimia huku Tanzania ikiwa bado haijatimiza malengo ya kudai uhuru yaliyokuwa na kibwagizo cha Uhuru na Kazi, au hata kuwashinda maadui watatu...
Tumeanzi vipi jaji Dourado aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar akiongoza Mahakama ya Kazi ya Zanzibar aliyefariki hivi karibuni?
Dourado aliwahi pia kuwa Mwanasheria Mkuu wa kwanza wa...
mwalimu huyu ambaye leo ni waziri wa kazi na ajira,amenishangaza kuzungumza swala la ajira ambalo ni BOMU lijalo kubwa,ktk hali ya kimasihara kiasi hicho sijui kama anafanya utafiti au wanasema...
wanajamvini, mimi ni mtanzania mwana CCM kwa muda mrefu, ila nimeshachuua kadi ya pipo-pawa kabla ya kuja uchina kwa mda mfupi, ila pia ni mgeni katika hili jukwaa. Kila ninapokwenda, hadi...
Nasikitika kusema toka mwanzo wa kampeni sijasikia sera ya chama tuchochote muhimu kwa wananchi wa arumeru ni majibizano mimi wa ukoo wa nyerere,huyu si wa ukoo wa nyerere,dr slaa fisadi alikula...
Wanabodi nashauri ili kuiondoa ccm 2015 inawezekana kutumia mbinu walizotumia invinsible children kumfanya kony kuwa farmous in negative way.kinachofanya ccm kuendelea kuwepo ni wananchi kutokujua...
Africa Most Travelled Heads of States Vs. US Presidents
Africa Presidents
Jakaya Kikwete 318, Tanzania (entire Period)
Yoweri Kaguta Museveni 208, Uganda (entire period)
John Evans Atta Mills...
Baada yakumuumbua wazir mkuu mjengoni,imebainika ana kesi ya kujibu huku ishu ya "mama mdogo" ikiwa ni chambo,Lema siku za karibuni arumeru ameonekana mnyonge huku zile mbwembwe zake zikipungua...
Wanajamvi nilikua naangalia TBC habari,na taarifa ya mwisho alionyeshwa kijana mmoja kwa jina JUMA MUSA ni mlemavu wa macho (kipofu) lakina alibahatika kufaulu na kuanza kudato cha kwanza...
kimsingi sensa huwa ni kujua idadi wa watu,mali zao,pamoja na mahitaji ya msingi ktk jamii.Nitofauti na inavyotarajiwa watu hupoteza muda wa kuhesabiwa kwa mwamvuli wa kuja kuwa saidia hususan...
Tumeshuhudia hivi karibuni mgomo wa madaktari na tishio la mgomo mkubwa wa waalimu.
Licha ya kutetea maslahi yao, wadau wa migomo hii wamekua kwa kiasi kikubwa wakidai uboreshaji wa huduma...
Naam, nimeandika mara nyingi sana kumchambua Jakaya Kikwete, lakini safari hii, naandika si kumtetea wala kumkingia kifua bali ni kudhihiri upofu wetu wa kumng'ang'ania mtu mmoja na kumsiliba...
hii nimeipata kwa rafiki yangu mmoja mitaa ya USA kwenye kambi ya timu ya kampeni ya ccm.anasema hawalali kwa raha kwani mijamaa ya ccm ikitoka kwenye kampeni hufikia mitaa hiyo kuchukua mgao.mara...
Hili la vituo zaidi 55 kuongezwa na tume kinyemela si la kulinyamazia lazima cdm wahakikishe wanalifuatilia kwa karibu kulisemea majukwaani haitoshi.
source. itv
Kutokana na message alizoziacha hayati diwani wa kata ya mlangali ludewa, na message hiyo kusomwa na mwendesha mazishi, mh. Huyo aliamua kujinyonga baada ya kutapeliwa sh. Mil 81 na mganga mmoja...
TAARIFA YA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA FAMILIA YA WILLIAM SHELUKINDO KUHUSU UBUNGE JIMBO LA BUMBULI MKOANI TANGA
Kumezuka taarifa za uhakika kwamba tangu Mhe. Januari Makamba ashinde Ubonge katika...
CHADEMA yapigwa kombora Arumeru
CCM yadai wafadhili wao wameisusa
Pamela Mollel, Arumeru
C H A M A C h a M a p i n d u z i
(CCM) kimesema siri ya Chama
cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.