Amani ndani ya Kijiji cha kakola yatoweka gafla.

Imurumunyungu

Senior Member
Nov 27, 2011
108
17
Ndugu wanaJF ni kwamba hali ya amani ndani ya kijiji cha Kakola kilicho jirani kabisa na mgodi wa dhahabu wa BARRICK BULYANHULU GOLD MINE imetoweka gafla baada ya polisi kuwatawanya wanafunzi wa shule ya Sekondari Bulyanhulu ambao walikuwa wanaandamana kudai walimu waletwe shuleni hapo ili waweze kufundishwa.

Shule mpaka sasa haina walimu wa kutosha.

In short hali ni mbaya mpaka sasa mabomu ya machozi na risasi za moto zinazidi kurindima kwenye anga la kijiji cha Kakola.
 
Vipi wananchi hawajajitokeza kuungana na wanafunzi, je walikua wakiandamana kuelekea wapi? Hivi polisi walioko kakola wanafika hata 50 kweli?
 
Mimi nikajua wanafunzi wameandamana kudai posho! Kumbe wanahitaji walimu ili wafundishwe ipasavyo, kuna tatizo gani kudai hilo? Au polisi walitaka wanafunzi hao wamalize shule kwanza ndipo wacomplain? Polisi bana, ndo maana wao (polisi) walifeli wakaishia upolisi, kazi isiyoshirikisha sana ubongo.
 
Watanza tuonyeshe kwa vitendo tumechoka,mabomu sio shulusho,suluisho ni serekali ipeleke walimu mashuleni.
 
wanafunzi wa kakaola wamefanya jambo la kupigiwa mfano. Mwaka jana shule yao iliferi sana ikiwemo jirani yao ya Bugarama. Viongozi wao hawasomeshi watoto wao kule.
Kakola ni pahala pa kuchumia na kuondoka inauma sana eneo lenye watu wengi kama pale serikali inashindwa kupeleka walimu?
 
Napata shida na ndugu zetu hawa washika virungu kwamba wanafunzi kuamua kwenda wanakojua wao ili kupeleka kilio chao ili wakapate kile wanachostahili kupewa inatoka wapi sheria ya kuwaona wanafunzi wametenda kosa na hapohapo ukiangalia watoto hao wamebeba madaftari na kalamu kwenye begi zao?

kwanza kisheria hawa ni watoto na watoto wanahitaji kuongozwa tu kwani wanachokidai kiko bayana badala yake ni mabomu na ngwara,watu wenyewe wanaishi kwenye mabanda kama sungura na ngozi zimewapauka lakini bado hawaoni hilo kwao kuwa tatzo...kwahiyo wanaona bora wanafunzi wanyamaze ili waendelee kupata 000?
 
hakuna risasi za moto bwana ni mabomu ya machozi, mimi nipo Jensen Guest House na nimeshindwa kutoka maana wanafunzi wamefunga barabara na magari yanashindwa kupita, hii nchi yetu kila kitu ni politics. ila kwa sasa hali ni swali wanafunzi bado wapo barabarani maana polisi wameishiwa mabomu ya machozi na gari ya maji washa limeisha maji so wameondoka nadhani watarudi tena baadae itakuwa wamekwenda kuongeza maji na mabomu ya machozi
 
CCM wanapanda mbegu ya Taifa la Wajinga!
Wanafunzi wanadai waletewe waalimu wa kuwafundisha wanapigwa mabomu/risasi!
 
The issue is not about politics mazee!
The issue is about the scarcity of teachers!
I can guess wewe ni mmoja wa wanaofurahia tanzania kuwa nchi inayoongoza kuwa na wajinga wengi!

Ole wako korazini Ole wako bethsaida!
 
CCM wanapanda mbegu ya Taifa la Wajinga!
Wanafunzi wanadai waletewe waalimu wa kuwafundisha wanapigwa mabomu/risasi!

Ama kweli hawa mapolisi sisiem watavuna wanachopanda hapa Nchini,wanafunzi wanadai haki yao wanapigwa kwa mabomu?

Hebu tuwasubirie tuone matunda yao yatakuwaje!
 
hakuna risasi za moto bwana ni mabomu ya machozi, mimi nipo Jensen Guest House na nimeshindwa kutoka maana wanafunzi wamefunga barabara na magari yanashindwa kupita, hii nchi yetu kila kitu ni politics. ila kwa sasa hali ni swali wanafunzi bado wapo barabarani maana polisi wameishiwa mabomu ya machozi na gari ya maji washa limeisha maji so wameondoka nadhani watarudi tena baadae itakuwa wamekwenda kuongeza maji na mabomu ya machozi
kwani hayo mabomu na maji washa ndo walimu na vitabu ambavyo wanafunzi wanadai?? anyway asante kwa taarifa
 
Ama kweli hawa mapolisi sisiem watavuna wanachopanda hapa Nchini,wanafunzi wanadai haki yao wanapigwa kwa mabomu?

Hebu tuwasubirie tuone matunda yao yatakuwaje!

Mkuu tulipofikia haihitaji kusubiri, inatakiwa wazalendo kuchukua hatua za haraka
 
The issue is not about politics mazee!
The issue is about the scarcity of teachers!
I can guess wewe ni mmoja wa wanaofurahia tanzania kuwa nchi inayoongoza kuwa na wajinga wengi!

Ole wako korazini Ole wako bethsaida!

thats the problem of most of you tanzanian, you just sit there and write rubish, kama kweli mnataka mabadiliko tokeni humo maofisini na kwenye ma computer ingieni kwa street like arabs and others who managed kuitoa serikali madarakani. there are proper channel na si kuvictimize watu wengine ambao its non of their business

think outside the box and acquireknowledge buddy and dont sit there and blame, ask yourself what have you done personally?
 
Wanafunzi wa shule ya kata kupigwa mabomu na washa washa !!! Aliyeamuru hilo alipaswa kujiuliza mara mbili mbili kabla ya uamuzi.
 
Hivi kama Polisi wangetumia BUSARA ndogo tu ya MTOTO wa CHEKECHEA wakawalinda hao wanafunzi hadi huko wanako kwenda KUDAI WALIMU wa kuwafundisha POLISI wangepungukiwa na nini? Au Siku hizi RPCs na OCDs wanapandishwa vyeo kufuatana na idadi na mabomu waliowarushia RAIA?

NGUVU ZOTE hizo mabomu ya MACHOZI ni maana yake? Kwamba hatuna tena hata uwezo wa kufikiri kidogo?
 
Ndugu wanaJF ni kwamba hali ya amani ndani ya kijiji cha Kakola kilicho jirani kabisa na mgodi wa dhahabu wa BARRICK BULYANHULU GOLD MINE imetoweka gafla baada ya polisi kuwatawanya wanafunzi wa shule ya Sekondari Bulyanhulu ambao walikuwa wanaandamana kudai walimu waletwe shuleni hapo ili waweze kufundishwa.

Shule mpaka sasa haina walimu wa kutosha.

In short hali ni mbaya mpaka sasa mabomu ya machozi na risasi za moto zinazidi kurindima kwenye anga la kijiji cha Kakola.
Sasa kwa nini hao wanafunzi wanaandamana na kufanya fujo? maana naamini kwua polisi walikuja kutuliza fujo.
 
Mkuu tulipofikia haihitaji kusubiri, inatakiwa wazalendo kuchukua hatua za haraka

Hakika nawaambia bila nguvu ya UMMA kuchukua maamuzi ya kukomboa Nchi toka kwa hawa mafisadi itakuwa hatujafanya kitu.

Na Mimi kama mimi natamani huu ukombozi uwe unaanza hata muda huu!
Uongozi uliopo madarakani ni JANGA kwa Taifa letu la Maziwa na Asali!
 
Bugarama, Kakola, Nyanzaga...the list goes on...ni explorations za gold tu na watu wakuja. Kupigania elimu ni kitu cha kutia moyo sio kupigania vitu visivyo na manufaa kwetu na hata kwa watoto wetu. Mwisho wa siku tukiwa na elimu hiyo gold tutaitafuta wenyewe badala ya kusubiri kina Barrick na wengineo.
 
Back
Top Bottom