Harambee ya CHADEMA Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harambee ya CHADEMA Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kuchayaa, Mar 21, 2012.

 1. K

  Kuchayaa Senior Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu nasikiliza Clouds FM arusha, nimesikia tangazo ambalo Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Mh. Mbowe akiwakaribisha wafuasi wote wa chadema ktk harambee ya kuchangia chama ambayo itafanyika Naura Spring hotel tarehe 23/03/2012 kuanzia saa 1 jioni.Viva Chadema!
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hiki chama kimeishiwa hivyo ? na nimepata habari za uhakika kuwa mwitikio wa sadaka ni mdogo sana mpaka sasa wamekusanya TZS 26M tu. TO HELL CDM !
   
 3. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa wewe ulitaka nani achangiye au wafanyeje?
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hebu cheki tarehe ipo sahihi kweli?
  Hii ya kuchangiwa CCM inawakera sana maana walidhani hakuna watu wa kuichangia CDM. Wanataka wachangiwe wao tu.
   
 5. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yaya wa Junior hajalipwa mpaka sasa! 250,000/= kwa siku! Changieni jamani!
   
 6. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe mnafiki, hizo milion 26 ni za wananchi walala hoi wanataka ukombozi, swala si kiasi cha pesa wanachotoa swala moyo wanaoutoa kwa chadema! Subirini mapinduzi yatakayotokea! Nyie si mnajivunia kodi za wananchi na michango ya mafisadi hongereni, but your days are numbered! Sisi tutakuwepo kuchangia chama letu!
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ruzuku na mfuateni kada wa ccm Sabodo awasaidie

   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Chama muflisi hiki
   
 9. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kamanda tarehe iko sahihi kabisa maana mimi yatari nina kadi yangu nitatia timu kuchangia chama langu kwa fujo! Ni Ijumaa ya Tar 23, March, Kuanzia saa 1:30 jioni. Itakuwa live starTV, kwahiyo kama hutahudhuria changieni kwa M-pesa, Tigo Pesa, na Airtel Money! Viva Chadema!
   
 10. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtachemka wenyewe, Hatuna pesa lakini tuna Mungu na watu wetu!
   
 11. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  HONGERA SANA CHADEMA KWA KUTUWEKA MBELE SISI UMMA WA TANZANIA KUKICHANGIA WENYEWE CHAMA CHETU ILI TUENDELEE KUWA NA SAUTI YA MWISHO NACHO

  Safi sana Kamanda Mbowe, CHADEMA ni chama chetu sisi wenyewe wananchi na ili tuwe na sauti nacho wakati wote fedha zote tukichangia chama siasi wenyewe kama ambavyo wananchi wengi tulivyokwishaanza kote nchini.

  Acheni CCM kiendelee kuchangiwa na MAFISADI kina Rostam Aziz nyuma ya pazia ili waendelee kuwa naa sauti ya mwisho nacho kuendeleza UFISADI katika kila sekta ya nchi.

  Clouds FM, mnapotusikia tukisema CHADEMA ni 'Sauti na Nguvu ya Umma' ni nguvu ya umma kweli hadi sisi wenyewe umma wa Tanzania kuwa ndio chanzo cha fedha zake kujiendesha bila kubabaishwa na MAFISADI sawa na MAPACHA WATATU walivyowashindeni kuvuliwa gamba shauri ya ufadhili binafsi.

  Enzi za CCM kuchangiwa fedha na akina kabwela, wakulima na wafanyakazi sote tulisikia kwamba UADILIFU ULIKUA MBEEELE KAMA TAI NA HESHIMA KWA UTU WA MTANZANIA.

  Lakini kipindi ambapo sasa chama hiki wachangiaji wake wamekua ni matajiri wachache tu nchini, tangu hapo Heshma ya Utu wa Mtanzania ikawa ni ndoto na wenye sauti hivi sasa pale si walalahoi tena bali ni kambi rsmi ya MAFISADI wachache kukigeuza chama hicho kampuni binafsi.

  Kwa sababu tu baadhi ya watangazaji wa Clouds FM ni washabiki mbumbumbu wa CCM kwao wao wanadhani CHADEMA kuchangiwa na wakulima na wafanyakazi walioachwa solemba na CCM katika Umiliki na Uendeshaji wa Siasa za nchi hii eti ni udhaifu - kawaulizeni wale waliopigwa umande miguuni watawafahamisheni kwamba njia hii walioibuni CHADEMA ni kiboko kutokubabaishwa na MAFISADI hata siku moja.

  Kila mwana-CHADEMA, kuchangia chama chako kutukomboa kuondokana na dhuluma za miaka nenda rudi chini ya CCM-Mamboleo wala hakuhitaji mtu uwe tajiri bali ni moyo tu na kujua DIRA yetu kuu katika harakati hizi za ukombozi.

  Nguvu ya Umma mbeeeele kama tai katika kukichangia wenyewe chama chetu kila kona ya nchi ili wasije MAFISADI wachache wakatupokonya hii lulu ya ukombozi kama ambavyo walivyowahi kutupokonya CCM na kuwaweka akina Adam Malima kuwa ndio 'wakuu wa vitega uchumi' kwenye hoteli za kifahari mikoani.

  Njoo wewe, njooni nyote tukakichangie chama chetu tukakipige chini hiki Chama Cha Mafisadi kiulaini kama kutumbukiza mkate mkuuuubwa kwenye chai na kugeuzwa uji uji mara moja.

   
 13. h

  hans79 JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  jk alisema huwezi kula hadi uliwe kidogo hiyo ndo yenu,CHADEMA michango ya umma ndo tija na kauli nasaha toka viongozi wetu.vp na kauli zenu mfu?mara mke wa mtu harafu nanyi kama IGUNGA,mara kaiba sadaka kwenu hela za epa,kagoda,rada,richmond etc hayo yote yana ufisad mpana na bado nyumba za serikali ujue utarudisha tu uwe wewe au jamaa zako kama ulivyojigawia ujue zitarudishwa kwa lazima serikalini kaa chonjo saa mbaya yaja.funguka dogo njoo uwekwe sawa achana na njaa upambe itakuweka pabaya.wape zero magamba wenza.
   
 14. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  iyo lugha yakheeee ya kipande ileeeeee.....kwetu kwasema kimefilisika
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Hela ya ruzuku iko wapi ? Hela anazowapa Sabodo aka Kada wa ccm kila mwezi ziko wapi ?
   
 16. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  hivi nikitaka kuchangia kwa M- pesa nafanyaje jamani naomba elimu
   
 17. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  nyie mnajua sadaka zaidi ya shiling hamsini ,mia ndio maana utegemezi wenu autakwusha kamwe CDM atutegemei mrija mmoja kila mtu ana haki ya kuchangia
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kama hutaki kuchangiwa utaliwa.
   
 19. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni kweli, kuna harambee ya cdm ijumaa pale Naura Spring. Lengo ni kukusanya hela za kuimarisha chama, kampeni za Arumeru na kujenga jengo la makao makuu ya cdm (m) huko Arusha!
   
 20. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mPM Nanyaro Ephatha kwa maelezo zaidi!
   
Loading...