Eti jaji Lubuva anakemea siasa chafu kwenye kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti jaji Lubuva anakemea siasa chafu kwenye kampeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kalunguine, Mar 22, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jaji lubuva amefunguka leo mbele ya waandishi wa habari na kutishia kufuta kampen kwa chama kitakachofanya kampen chafu.
  SWALI. LEO LUBUVA AMEKUA MWEMA KIAS HICHO AU ANAKWEPA MAKOMBORA YALIYORUSHWA NA NYERERE KWA MKAPA JUU YA KIFO CHA MWALIMU?
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  Acha unafiki wewe!
   
 3. p

  politiki JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hana lolote mzee alikuwa na record nzuri alipokuwa mwanasheria mkuu sasa anakwenda kuichafua record yake yote kwa kukikubali cheo hiki ambacha anajua wazi kuwa CCM itakutumia kuhalalisha mauzauza yao na wewe ndio wa kubebeshwa lawama. ningeanza kumuamini kama angeanza kwa kumkemea mkapa alipomdhalilisha vicent nyerere kwy jukwaa la siasa madam alikaa kimya bado his claimof operating independent or impertial is still in question.
   
 4. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yale yale; Like father like son!
   
Loading...