Anafanana sana na Mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anafanana sana na Mbowe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wingu, Mar 20, 2012.

 1. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sio mbaya kumfahamu ni Nani huyu.Aliye nielewa atanisaidia.Ni mtoto au mdogo wake.Bahati mbaya sina picha yake.Nimemwona naye yupo arumeru kwenye mapambano
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  cdm sio chama cha familia kama ccm!jk,riz1 masalma wote kwenye kampeni
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu mbona umeamua kuingia kwa huo mlango imekuwaje leo?
  Mungu ana watu wengi sana mazee!
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wassira
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Unaonekana u maiti lakini unazungumza!
  tumkimbie.
   
 6. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Jamani mjibuni vizuri,huyu ni vicent nyerere,MBOWE HUWA ANAFANANA NA FAMILIA YA MCHONGA MENO
   
 7. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wekeni picha zao au acheni majungu
   
 8. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  wewe unaenda kusikiliza hoja au kufananisha watu? Acha upopompo!
   
 9. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Chadema haina undugu wala hawarithishiani ubunge.
   
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mbowe anafanana na katibu wa bavicha anayeitwa deogratius munishi, hata miwani wanavaa wote mpaka kuongea wanafanana but hawana undugu wowote.
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  anafanana na katibu wa bavicha anayeitwa deograutius munishi but hawana undugu wowote.
   
 12. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nashukuru sana mkuu huyu kamanda amefanana sana na mwenyekiti mbowe.Ubarikiwe sana.Naona kuna mijitu mingine imekuja na dhana mbovu yamemwaga mapovu wee Hata hayajui ninacho maanisha.
   
 13. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu mimi mwenyewe huwa nawaona wanafanana!!
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  napita njia.
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  fatilia viti maalum walivyogawana.
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kiswahili ni kigumu kuliko nnavofikiria, ndio nini hicho? nimetafuta kwenye kamusi sijaliona hilo neno, naomba unisaidie kulifafanua.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mkuu ,BABA na MAMA NASSARI wameshapanda jukwaani na sasa HALIMA MDEE yuko kule. Siyo familia hiyo?
   
 18. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hajakosea , ana maana CHADEMA huwa wanaridhishana , sasa sijui wanajigawa vipi ili kuridhishana, teh teh teh teh.
   
 19. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mwenye picha ya Munisi aiattach hapa na sisi tufananishe.
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mzee, mzee, mzee acha kabisa kugusa huko. utakutana na jambo baya sana, japo unasema ka-ukweli fulani mezea tu.
  unajua unaweza tengeneza shairi na vina vikaa sawa;

  Edwin Mtei, Freeman Mbowe;
  Wilbroud Slaa, Rosemary Kamili;
  Tindu Lissu, Christina Lissu
  Philemon Ndesamburo, Lucy Philemo;
  Vecent Nyere, Letcia Nyerere;
  unaweza kuendeleza shairi hilo. Teh teh teh teh
   
Loading...