Wassira amewambia watu wa karibu yake kuwa amepokea waraka kutoka Vatican unaohusiana na Dr Slaa na kama wakatoliki hawalielewi hilo wafuatilie Vatican.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kimeanza rasmi kutumia helikopta kumnadi mgombea ubunge wa jimbo la Arumeru Joshua Nasari.Katibu Mkuu wa CDM Dr Wilbrod Slaa ametumia helikopta leo kuzunguka...
Hii inamaanisha halijui hata jimbo analogombea,kwanza aliliita mkoa,pili akaja akaliita Arumeru Magharibi na kumbe ni Mashariki.Amezaliwa na kusoma Kenya,LLB kasoma uingereza na anaishi...
Swali ni kwamba, Lema atashiriki mkutano ujao wa bunge mwezi April Dodoma ama ndio mwisho wa safari na tujiandae tena kwa uchaguzi mdogo? Hukumu ya kesi yake sasa inatolewa Tarehe 5 mwezi ujao...
Kwamba tunaweza kulinda na kutetea uhuru na ustawi wa nchi hii kwa moyo wa dhati!
Kwamba tunaweza kujitolea kujenga uchumi wa nchi hii!
Kwamba tunaweza kulinda rasilimali za nchi hii dhidi ya...
Najiuliza kama ningekuwa na ndoto ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM mwaka 2015 ningefanya nini?
Ningeeleza mambo ambayo yangewavutia wapiga kura wangu ili wanichague. Ningewasaidiaje...
Leo kwenye taarifa ya habari nimeshuhudia akionyesha mkutano wa ccm bila ya kuonyesha watu walio hudhuria. Kwani sauti za watu walio kuwa wameudhuria ilikuwa ni ndogo sana. Nakuishia kuchukua...
Inasikitisha sana kuona wanasiasa wakiwekeza kwenye uelewa mdogo wa watu.
Inakera kuona watu badala ya kuelimisha wanazidi kusambaza ujinga kwa watu wakati wa kampeni.
MSEMO KUWA MCHAGUENI...
huu ni ukweli usiopingika ukibisha utaonekana una matatizo katika chako, huyu jamaa kweli ni prof wa ukweli mungu amempa akili na uwezo mkubwa, leo kuwa ni mtu mweusi pekee kutoka afrika...
Mbuge wa jimbo la muheza(CCM) leo amehojiwa na Taasisi ya kupambana na rushwa(TAKUKURU)kwa vitendo vyake ya rushwa wakati wa uchaguzi wa mwaka 2010 .Na anatazamiwa kupandishwa kesho katika...
Chadema imeipa polisi saa 24 kuwakamata watuhumiwa wote wanaotuhumiwa kuwashambulia viongozi wa Chadema kwenye kampeni za uchaguzi Arumeru Mashariki. Katibu wa chama hicho Dr. Slaa amesema kwa...
Wana JF kila mtu kwa Wakati wake amejaribu japo kwa Kificho au kwa Uwazi kutoa Pongezi kwa Joshua Nassari kuhusu ushindi wa Wazi uliojioesha.
MAJI MAREFU: yeye alifika Kambi ya CHADEMA na kuomba...
[Mods: Hii mnaweza kuiacha apa ijitegemee kama mtaona inafaa, mimi nadhani inafaa ibaki peke yake]
Katika uchaguzi wa 2010 kuliibuka tuhuma mbalimbali kuhusiana na hasa kwa nini Dr. Slaa ameacha...
Kuna uwezekano mkubwa wa kutangazwa nafasi wazi nafasi ya Ubunge ya Jimbo la Kibaha Mjini kufuatia kukinai kwa Mbunge aliyepo,Silvestry Koka-CCM.Mbunge huyo amekaririwa mara kwa mara akijuta...
So BAE has finally paid out £29.5m for education projects in Tanzania. The payment was agreed two years ago, as part of a settlement with the Serious Fraud Office (SFO) that brought to an end the...
Wakuu salute!
Leo pia nimepata fursa ya kushuhudia mkutano wa kampeni za ubunge wa Arumeru Mashaiki, ambapo CDM walikuwa wakinadi sera katika viwanja vya Nkoanrua primary kata ya Nkoanrua...
Katika taarifa ya habari ya ITV nimemsikia waziri Nagu, katika kampeni za Arumeru, akisema kuwa shughuli za maendeleo yaliyopangwa na serikali katika sehemu hizo, yatacheleweshwa (kwa makusudi)...
Wakuu,
kuna jambo huwa linanishangaza sana, kila mara ninapomuna rais wangu Jk kwene vyombo vya habari mara nyingi huwa yuko kwenye hafla fupi ikulu. mfano juzi tu alionekana kwenye hafla fupi ya...
Steve Biko's conception of black consciousness was:
Black Consciousness is in essence the realisation by the black man of the need to rally together with his brothers around the cause of their...
Kutoka tweeter;
Kwa wale wanaotaka kushiriki na kuongeza nguvu ktk kampeni zetu za CHADEMA Vijibweni-Kigamboni wasilianeni na:Kilewo 0714225960/0756091748
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.