Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kutokana nali ya amani kuendelea kuwa tete arumeru mashariki ninamwomba waziri mwenye dhamana ya maliasili na utalii ajiuzulu mara moja kupisha uchunguzi huru,inakuwaje anaacha mali asili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Aiseee,kumbe picha tunazoonyeshwa kwenye TV zimechakachuliwa.Mbona wakionyesha kwenye TV watu wanaonekana ni wachache na kamera inaelekezwa sehemu moja tu?Click hii link hapa chini uone...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamani mimi nipo msumbiji,kinachotupata huku watanzania mungu ndio anajua.tunavuliwa nguo na poli si,tunanyang'anywa pesa na paspoti na wengine wamepigwa risasi.jambo hili haliitaji...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
'Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umasikini,ujinga,magonjwa na dhuluma' Hiyo ilikuwa ni ahadi ya tatu ya TANu ambayo hata JK,Aliikiri. Lakini utekelezaji wake haupo licha ya kuwa ccm ilirithi...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
CCM waanza Ukatili Arumeru - YouTube Kaazi kweli kweli!!!.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF, TUMESHUHUDIA NA KUSIKIA MENGI YAKIFANYIKA NDANI YA SERUIRIKALI HII DHALIMU YA ccm.Ndani ya utawala huu tumeshuhudia wananchi tukiingia gharama ambazo hakika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Ramadhan Ali-Maelezo Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo na Wanawake wa Baraza la Wawakilishi Hija Hassan Hija amekusudia kupeleka hoja binafsi ya ubadhirifu na rushwa unaofanywa katika shirila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Written by Harith Ghassany // 22/03/2012 // Habari // No comments Muungano wa Mkataba utapitaje bila nao kuwa na mtiririko wa Kisheria? Hakuna katika muswada/rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Kuna umuhimu gani kusema Visent Nyerere si ndugu wa marehemu Mwl J K? Ya nini maneno ya kuwa Dr. Slaa kafukuzwa kwa sababu ya kuiba fedha za ujio wa marehem Pope Yohane paulo wa pili-1991? Hii...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo katika jitiada za kupunguza asilimia za joshua kushinda sioi amejichanganya tena kwa kusema kuwa anafahamu vijiji vya arumeru vyote 74 wakati ni 86 maskini ya mungu atumie ile karatasi yake...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Thu, Mar 22nd, 2012 Tanzania | Wed, March 21st 2012 CHADEMA has given the police a 24-hour ultimatum to apprehend suspects who have allegedly been attacking his party's leaders during the...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimehudhuria mikutano ya Siyoi kwa kweli confidence hana na anaongea akitetemeka. Wakati mwingine hali hiyo hupelekea kuchapia maneno kutokana na kuogopa watu, kana kwamba hajawahi kusimama...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni taarifa ya habari ya BBC asubuhi hii,waziri wa mashauri ya nje wa kenya Mosses Wetangula kahojia akasema kuwa wanadiplomasia walokuwa ktk mkutano wa 'peace keeping' wameshambuliwa na wengine...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Najua unakazi nyingi na majukumu mengi lakini naomba utiweke kwenye ratiba yako shule ya msingi mashujaa sinza hali ni mbaya sana, shule ni kama haina vyoo kwani vilivyopo haifai kabisa na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndiyo, nasema kweli, kwa wwngi wetu, CCM ndio mzazi, tulizaliwa ndani ya CCM, CCM Imekuwepo zaidi ya miaka 37 sasa, Huu ni Umri wa mtu mzima..... CCM hii ndiyo iliyotufikisha hapa..... Lakini...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tunatahadharisha nec kuwa pindi watakapochakachua matokeo ya ubunge,tunawaahidi tutatumia faru.....faru ni kifaa chenye waya ndani yake kinafanana na fimbo.huku meru ni kifaa kinachotumika sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wassira alitiwa hatiani na mahakama 1997 kwa kutoa rushwa huko Bunda baada ya kushitakiwa na Jaji Warioba. Then, Kutokana na alikuwa mpinzani na bado alikuwa bora katika mambo ya rushwa basi CCM...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Sidhani kama serkali wanafanye upembuzi yakinifu kabla ya maamuzi sahihi kuchukuliwa, kitaalamu sidhani kama kutakuwa na mantiki kama mwaka huu vitamburisho vya taifa vitatolewa na hapohapo sensa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya ludewa bwana Matei kongo hivi karibuni amekumbwa na kashfa mbaya ya rushwa baada ya kupokea kiasi fulani cha pesa kutoka kwa mkandarasi ambaye kwa mda mrefu...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Hatimaye kilio cha wadau wa demokrasia nchini kimesikika, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), kutangaza kuajiri watumishi wake wa kudumu kuanzia bajeti ijayo ya serikali ya mwaka 2012/2013...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom