Ratiba ya kampeni za CHADEMA Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ratiba ya kampeni za CHADEMA Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by matawi, Mar 22, 2012.

 1. m

  matawi JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wadau nipo Arusha nilitaka kujua ratiba ya mikutano ya kampeni arumrucdm ikoje ili na mimi nihudhurie siku moja mwenye taarifa plz
   
 2. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kila kata kila siku ila mgombea ndo anahamahama
   
 3. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kwa sasa wapo sakila
   
 4. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Sikufanikiwa kwenda ila nasikia ni mafuriko ya watu.. nimepigiwa simu na dada yangu anaishi huko, ni mwanaCCM ila ameamua kuhamia Chadema baada ya kutambua uongo na ukweli
   
Loading...