Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Siku ya kwanza Mh. Ole Sendeka alipopanda jukwaan kule Arumeru kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM yalisemwa mengi ikiwepo na kutoa mtazamo wa fikra zetu ya kuwa Mh.Ole Sendeka sasa naye yupo katika kundi la EL, kauli hii ilichangiwa na wengi sana hapa jamvini na kuandikwa kwenye baadhi ya magazeti.
Sasa kwa picha hii ya Ole Sendeka na Nassari ilopamba ukurasa wa mbele wa gazeti la Tanzania Daima nani kibaraka wa nani au tutauita ni ukomavu wa kisiasa kwa Ole sendeka?
Sasa kwa picha hii ya Ole Sendeka na Nassari ilopamba ukurasa wa mbele wa gazeti la Tanzania Daima nani kibaraka wa nani au tutauita ni ukomavu wa kisiasa kwa Ole sendeka?