Naomba kukumbusha wasira ayegombea ni Joshua Nasary nasio Dr Silaa na asimfundishe sioi matatiizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kukumbusha wasira ayegombea ni Joshua Nasary nasio Dr Silaa na asimfundishe sioi matatiizo

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by kijenge, Mar 22, 2012.

 1. kijenge

  kijenge Senior Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Wasira amekuwa akimshambulia Dr silaa na vicenti nyerere kama wao ndio wagombea,anasema sioi ataleta maendeleo kama wasira anaelewa maendelleo mbona kwake hakuna? jimbo lake linapakana na ziwa victoria lakini ameshindwa kuwapatia wananchi wake maji.Sioi amazaliwa ajui shida ya maji,umeme na afya kwanza anashanga kusikia watu hawana maji wala umeme nawanaishi anastajabu kusikia kuna watu wanalala njaa,hao wanao msaidia kampeni ni kwamba wanafundisha kuelewa shida mtu amezaliwa kenya amesoma ulaya amekuja Tanzania nakupewa kazi nzuri gari, nyumba na mkee hajawahi hata kutembea kilometa 4 kwa miguu.anakuja kutuchora ataleta umeme,anajua bei ya kuvuta umeme? yeye kaona matitazo ni umeme tu hajui kuna maji afya elimu na njaa bado miundo mbinu.Huwenda wasira.sendeka na mwigulu wanampa moyo mbona mjimbo yetu hayana kitu kabisa afadhali lakwako na tunashindaga.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kiongozi umenichekesha sana, hasa hapo kwenye red! lol! Nashauri Wassira na Ole Sendeka wanzishe chuo cha kufundisha watoto wa vigogo shida!
   
 3. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wasira ni mtu wa kumpuuzia tu
   
 4. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  He is too ugly LOL.
   
 5. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ccm ilizikwa na nyerere..viongoz wengi wa ccm wanatumia akili za maiti kuwaza
   
Loading...