Hivi Wasira naye alilipwa per diem kwenda Arumeru Mashariki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Wasira naye alilipwa per diem kwenda Arumeru Mashariki?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Ng`wanakidiku, Mar 22, 2012.

 1. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakata wadau kufahamu kama huyu mh. naye walimlipa per diem ili akampigie kampeni mgombea wa CCM?
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,408
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Lazima mkuu haweindi bila posho hawa !
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Kwanza akiwa kama waziri anayetakiwa kupatanisha umma na kuleta mahusiano lakini amekuwa ndio mchonganishi na muondoa mahusiano. Kweli rais wetu alinyimwa na Mungu kipaji cha kutambua viongozi bora. JK na Wasira wanaunganishwa urafiki na kitu kimoja tu, CHUKI ZAO BINAFSI KWA NYERERE na WARIOBA.
   
 4. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo per diem ndo inayowapeleka huko! hata wasiojua kujenga hoja wako kwa ajili ya posho na matokeo yake ndiyo hayo 'kauli gongana'!
   
 5. y

  yplus Senior Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ikiwa vijana wa TOT wanao tembea na Semi la CCM wanapewa 30 kwa siku nje na malazi na chakula,Wasira atakuwa anapewa tshs ngap?,jibu unalo...
   
Loading...