Nani katulaani watanzania tunasikia lakini hatuelewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani katulaani watanzania tunasikia lakini hatuelewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mageuzi1992, Mar 22, 2012.

 1. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Laana ni kitu kibaya sana. Mtu anapolaaniwa hufanya mambobila kufikiri kuwa ni yeye anafanya!
  Wakati mwingine laana humfanya mtu aonekane kama taahira ama kichaa!!!,
  nasema hivyo kwa kuwa watanzania wengi tumekuwa ama kama mataahira au vichaa wasioelewa kitu. Mtu unaona maisha yanavyokuwa magumu unaambia shida ni ccm lakini huelewe!!! Mtu anatangazwa, kabisa ni fisadi tena ndie anaye sababisha maisha magumu kwa lakini wewe bado unamfagilia!?
  Mtanzania unalia uchumi umekuwa mgumu wakati mafisadi wanadunda!!! Umeme umepanda unaambiwa ni gharama za kuendesha mitambo wewe unakubali lakini hujiulizi deni la dowans lililokuwa linapigiwa debe lilipwe limekwenda wapi?
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanzania bra bra nyingi, bila kuachana na hiki chama cha kupindua maendeleo tuyasahau. Angalieni kwa wenzetu wakenya walipoipiga chini KANU sasa uchumi wao unapaa na miundo mbinu ya barabara sasa safi (flyovers sio hadithi tena).
   
Loading...