Tukisema haya kwa CHADEMA ni kosa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukisema haya kwa CHADEMA ni kosa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Mar 22, 2012.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wakati CDM walipokuwa wakizindua kampeni zao kwa mbwembwe za helikopta ambapo Mbowe alisema wazi kuwa helikopta hiyo ndio itatumika kwenye kampeni . Imedhihirika wazi kuwa helikopta hiyo inatumika mara chache sana na hili ni kutokana na hali mbaya ya kifedha ya chama ambapo uwezo wa kuigharamia kwa siku ni Tshs 10.87m, na chama hakina pesa na sadaka zinazotolewa kwenye mikutani ni kidogo na hazitoshelezi mahitaji ya kila siku. Kutokana na hilo basi, ndio maana cdm imeamua kuitisha fund raising ya dharura hapo trh 23.03.2012 ili kukiokoa chama My take : CDM mbwembwe mlizo zionyesha siku ile kumbe uwezo wenyewe hamna. Hii ni sawa sawa na mwanamke ambae anajifanya yuko juu kwa kupenda vitu vya gharama kumbe alikotoka kwenyewe kwao hawana uwezo huo.
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,179
  Likes Received: 10,517
  Trophy Points: 280
  cdm inaonesha inakukuna vilivyo...
   
 3. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mmezidiwa kwa hoja Arumeru mnakuja na trivial issues zisizokuwa na uhusiano..! Msajili amesema kiwango kisivuke milioni 80.. CDM inacheza ndani ya budget hiyo.. Mnatakiwa muwaambie wana Arumeru kwa nini mmeshindwa kuwasaidia kwa miaka yote 50..
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  CCM mna visa mno....CHADEMA ndio waasisi wa kampeni za helikopta......mwanzoni mkapiga kelele ooh matumizi mabaya ya hela.....mwishio nanyi mkaiga na CUF wakaiga....sasa oooh CHADEMA wameishiwa....kwani lazima kutumia helikopta kila mahala na kila wakati?
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ngoja aje Dalai Lamma na wenzake uone watakavyokushambulia.
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Cdm (NDIO NINI? MNYAMA AU NN?) Inaonesha (HUNA UHAKIKA KAMA KAWAIDA YENU NA YAKO) inakukuna (SEHEMU GANI? TUNASHUKURU KUTUJUZA KUWA UNAKUNWA NA CDM) vilivyo
   
 7. N

  Newvision JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa hawana pa kuiba siyo kama jamaa zako CCM wanatuibia pesa zetu na kuzipeleka Arusha au hujui. Zungumza ukiwa na akili mtu wa miaka 17 huwezi ukamlinganisha na na mtu wa miaka 58 ! Reason out my friend!
   
 8. mjomba wa kale

  mjomba wa kale JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kama huna hoja ya msingi/maana kalale, unatakiwa upimwe akili inaonekana una matatizo sio bule
   
 9. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kumbe chasema inawatesa wengi....wengine wanaizimia kama mleta hoja lakini wanawaza sare sa ccm wanazopewa bure bure na vyakula vya bure !!!!
  Cdm juuuuu juu zaidi mtaikoma 2015!!!
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  NI KWELI CDM hawana hela compared to ccm
  je fedha za ccm ni halali........


  Hapo red: mama yako
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwenye red hapo ndio nn ? ww sio mtanzania
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Duh kumbe ww huna mama? au ndio watoto waliolelewa kwenye mazingira magu....tunao waona mitaani

   
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  ​Watu kama nyie hakuna haja ya kuwashambulia. Tunawapuuza tu kwasababu mmeshajipuuza wenyewe
   
 14. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pesa zilizopo ni za kumlipa per diem yaya wa Junior tu! Changieni jamani acha ubahiri!
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kumbeeee, na dipo hela ya ruzuku na Sabodo zinako ishia

   
 16. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ccm hawana hoja. Wakati wasira, mkapa, sendeka na tendwa wakiropoka arumeru, kampen zilionekana poa, vicent nyerere amejibu hoja kwa kumtaka mkapa aeleze vema undan wa kifo cha mwalimu nyerere, jaj lubuva amekemea vyama kwa siasa chafu, sasa jamvin limezuka la helkopta, duuh, jaman ccm(chama cha majambazi) tumewachoka arumeru, miaka 50 hatuna maj, bado mmeshindwa kujitetea na mnaendelea kutongoza kwa pumba mpate kura? SISI NA CHADEMA DAM DAM BWANA, nenden igunga kwa viraza, siyo huku, mmeshudua
   
 17. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
   
 18. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Usibishane na mpumbafu na mjinga nawe watu watakuona ni mpumbafu square na mjinga square
   
 19. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Huyo Junior mnavyo mnyanyasa ngoja akuwe.
   
 20. N

  Noboka JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,144
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Hamna kitu hapa, lete hoja za kuikomboa Arumeru, hayo mengine ya utajirio wa vyama hayana mashiko
   
Loading...