Mbinu za kuiba kura Arumeru ni hizi hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbinu za kuiba kura Arumeru ni hizi hapa

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Wizzo, Mar 19, 2012.

 1. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  ccm wamegundua hawatashinda uchaguzi arumeru wameamua kutafuta njia mbadala za ushindi,njia mojawapo ni hii wameandaa vituo hewa vya kupigia kura 67.nadhani hv vituo hewa ndo vitakua na yale mabox yetu yaleee yengu kura za ndiyo tayari.2namshukuru mungu kwa mwongozo wake 2megundua hili,bado ziko na nyingine nyingi hawa jamaa ni hatari
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Walaaniwe,hawa ni wakupigwa mawe hadi kufa hawawezi kuchezea haki za wananchi namna hii,vituo hewa halafu tume inawabeba,Majaji nao wanakubali kuwa wezi,Ikifika mahala mtu kama jaji anakosa utu ujue hakuna nchi wala uongozi dhuluma kitu cha ajabu sana waambieni wanachi mbinu zao zote,waambieni wanavyokimbia na masanduku,wanavyozima taa,wanavyoangusha magari ya masanduku,wanavyobadilisha fomu waambieni wana Arumeru toeni na mifano hiyo ya vituo hewa
   
 3. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mheshimiwa ungeweka wazi chanzo cha habari hii ili hatua mathubuti za kulinda kura zichukuliwe
   
 4. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  CCM bila kuiba kura hawawezi kushinda popote,ni chama cha ajabu sana na kinatabia za kipekee duniani.Hebu fikiria hata katika chaguzi zao za ndani wanaibiana kura mfano kura za maoni kuanzia ngazi zote je uchaguzi ambao wanakabiliwa na upinzani mkali kama arumeru mashariki inakuwaje?lazima wachakachue tu.Kinacholeta faraja ni kwamba muda wao umeshafikia kikomo
   
 5. z

  zamlock JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kuiba lazima cha maana hapa ni wanameru kulinda kura zao tu akuna mjadala
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Uongo mwingine hauna kichwa wala miguu!
   
 7. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  mi ni mmoja wa watu 2liokua 2nalifuatilia hili jambo.kesho kunawajumbe wataenda 2me ya uchaguzi dar kupata maelezo kuhusu hv vituo hewa
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Sasa baada ya kugundua mmechukuwa hatua gani mkuu?
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  muelekeo wa kampeni huko arumeru mashariki unaashiria ushindi mkubwa kwa chadema.mpaka sasa hakuna sehemu ambazo ccm inaweza kujivunia kuondoka na ushindi.hali ya ccm ni mbaya na sasa wameamua kujiandaa na plan b-ambayo ni wizi wa kura.
  Mikakati ya ccm ni ile ile ya kununua vitambulisho vya kura na kuandaa maboksi ya kura.
  Hii sio mikakati mipya hivyo naamini cdm imepanga kukabiliana nayo.chanzo changu kimeniambia tayari masanduku ya kura feki yameshaandaliwa na chanzo kingine kimenithibitishia kuona mtu akikusanya vitambulisho vya wapiga kura baadhi yao ni wakazi wa moshi kwa sasa.eneo linalotumika kuficha kura feki ni gumu kufikika kutokana na ulinzi wake ambao unajumuisha polisi.
  Kiufupi ushindi wa ccm umebaki kwenye wizi wa kura.kwa hiyo pamoja na kampeni cdm lazima ijiingize katika intelijensia ya kutambua mbinu za wizi wa kura.
  SOURCe:ni timu ya secret agents iliyotapakaa arumeru yote.
   
 10. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hapo CDM kuweni makini, chukueni taarifa kama hizi ili mzifanyie kazi.
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  JF siku hizi imegeuka kuwa mtandao wa kiudaku, kila mtu anaandika atakacho. Kweli JF inakaribia kuzikwa kabisa !
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Utaanza kuzikwa wewe kabla ya jf..
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkakati ni kwamba kunaandaliwa waleta fujo kwenye vituo vya kura.wakati fujo zinaendelea polisi wanafika kwa kasi huku gari zao zikiwa na masanduku yenye kura za sioi,fujo inatulizwa na uhesabu wa kura unaendelea hapo utaona kila kura inayotoka ni sioi...
  Mkuu sina tabia ya kuleta udaku hapa jamvini.take it or leave it!
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ndio tunasema huu ni udaku na unafiki. Zamani habari kama hizi JF zilikuwa hazipewi nafasi ila siku hizi kila mtu anaandika atakacho. Ndio maana twasema JF imepoteza dira na si tumaini la habari za uhakika kama zamani, JF yasubiriwa kuzikwa tu tayari imeisha kufa.
   
 15. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  umepoteza dira wewe.jf ndiyo kiboko yao kama hutaki unaacha..
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu najua imekuuma sana kuona mpango wenu umevuja!na bado itavuja mingi tu!
   
 17. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kambi ya ccm imewekwa USA ili kuibomoa ngome yachadema.ni mita chache kutoka ofisi za halmashauri ya meru.
   
 18. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [Kumekuwa na tetesi za wana CCM kupanga mpango mzima wa kuchakachua Daftari la Wapigakura wakidai kunamaboresho yanafanya na tume ya uchaguzi wakati Tume ya uchaguzi imechaguliwa na Rais wa chama Tawala.
  Chadema kuweni makini sana na idadi ya watu walioandikishwa kwy kupiga kura 2010, awa jamaa wanataka kuiba kura zote za watu walio piga kura 2010 specialy wanafunzi amabao kwa sasa wameshaondoka na wale wotw walio ama uko meru toka uchaguzi umalizike. wanachokifanya ni kutafuta idadi kamili kupitia Wajumbe wa nyumba kumikumi na walimu wa Shule pamoja na vyuo. Ndiyo maana wapo kimya wanajuwa wanachokifanya.

  Source dogo yupo kazini lakini afuraishwi na kazi anayofanya anafanya kwa shinikizo tuu kutoka kwa boss wake.
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuna thread nimeipost ya kuwaasa chadema juu ya uchakachuaji.ccm wanafanya vikao usiku wa manane kufanikisha hili.
   
 20. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nendeni mkayachome yale masanduku ya kura feki kabla hatujawaumbua humu jamvini.
   
Loading...