Napenda nitoe rai yangu juu ya hali tete inayoonekana tanzania kwa sasa:swali ni je CCM inahusika/haihusiki na fujo hizi?
*Tumeshuhudia mauaji mengi ya raia wasiokuwa na hatia na wanaodai haki...
Leo asubuhi wakati najiandaa kuelekea kunakoshughuli nikabahatika kuona taarifa ya habari ITV ambapo Mzee Makamba alikuwa anazindua kitabu chake ambacho kimechapwa na Nyambari Nyangwine. Uzinduzi...
Ninavyoelewa Katiba ya nchi yetu unaruhusu/ inatoa uhuru wa mtu kutoa mawazo yake. Lakini mara nyingi naona mtu akigusia mambo ya muungano anaangaliwa tofauti. Pengine hata vurugu zinazojitokeza...
Video kwa hisani ya Sirallymasoud wa Youtube
SOMO ZURI KWA WADAU WA JAMIIFORUM KISIMA CHA ELIMU ENDELEVU
Historia ya dhana ya Muungano uliofikiriwa na Zanzibar kabla ya Zanzibar kupata uhuru...
Wadau,
Matunda ya serikali yetu sikivu hayo, hili ni jambo la kitaalamu msiweke siasa. tuipongeze serikali sikivu.
Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu, amesema uchumi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kamwe hakitakubali kuyumbishwa na kikundi chochote au watu wanaojiunga nacho kama mapandikizi kwa lengo la kuleta mageuzi ili kukidhoofisha...
Source Tanzania Daima
BAADA ya suala la uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi nchini kupigwa danadana, sasa Waislamu wametaka suala hilo liingizwe kwenye Katiba mpya.
Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Wana jf serikali inapanga bajeti mpya na karibuni mwaka mpya wa serikali unaanza.Sasa je watumishi wasipoongezewa mishahara?Je tufanye je?Naomba kuwasilisha.
Wakuu mimi nafikiri kinachojiri zanzibar sasa na si ajabu hata huku bara ni kigugumizi cha serikali ya ccm kukemea kwa nguvu zote udini unaozidi kuota mizizi hapa nchini hasa hii mihadhara ya...
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, amewataka wabunge wa Tanzania wanaowakilisha katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA), kususia vikao na kutoka nje pindi wanapoona...
Uteuzi wa wabunge wa kuteuliwa na Rais Kikwete wa hivi karibuni akiwemo mmoja kutoka chama cha upinzani NCCR Mageuzi ni kitendawili kilichoteguliwa tayari na mteule licha ya ukweli kujulikana...
Amani tuliyo nayo watanzania, inawafanya hata majirani zetu kila kukicha kukimbilia tanzania, waki amini hakuna kitu bora katika maisha kama amani. Watanzania tumekuwa tukiishi kwa upendo na...
Wana JF wakati jana ukifanyika mkutano mkubwa pale Jangwani Makamanda wa CHADEMA waligawana viwanja ambapo Chiku Abwao alikuwa Ismani huku Makamanda Conchesca Lwamlaza(mbunge viti maalu kagera)...
Katibu mwenezi wa Ccm bwana nape nauye amezindua movement ya 'vua gamba vaa uzalendo' ameongea hilo katika eneo la Misenyi mkoani Kagera.
Source:chanel 10 taarifa ya habari saa 1usiku.
My take...
Je mliopo mkoa wa Pwani mnayajua yaliopo mjini , kuna watu inasemekana wameuawa na polisi na kuna vurugukubwa sana na wananchi wameamuriwa wasitoke nje.
Kuna mapigano kati ya polisi wakulima na...
Nimepita jangwani na nikatulia kwenye Luninga yangu nikifuatilia hotuba kem kema nzuri zenye mvuto za viongozi wa CDM. Pamoja na kufurahishwa na mengi yaliyozungumwa, kuna mambo kadhaa ambayo...
kwa kauli za nape inaonesha hakuna kiongozi madhubuti ndani yake.
1.hakuna fisadi aliyeadhibiwa hata mmoja sababu ndio walioweka ilipo ccm
2.nape hajui anawakilisha chama kipi maana ndani ya moyo...
Kwa kweli mimi sio mwanasiasa lakini ni mwanajamii anaeshiriki moja kwa moja mafanikio ama maangamizi ya taifa.
Kama kutakuwa na shule bora, hospitali bora, nishati bora, maji safi nk ni unafuu...
CDM wameanza kuangamiza ngome ya CCM Bagamoyo. Leo wamefanya mkutano ktk viwanja vya Majengo S/M. Mkutano umefanyika wakati mvua kubwa ikinyesha na watu wakinyeshewa na mvua ya kufa mtu huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.