Ni dhambi kuzungumzia Muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni dhambi kuzungumzia Muungano?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by UmtwaAlumbwagwe, May 28, 2012.

 1. U

  UmtwaAlumbwagwe Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninavyoelewa Katiba ya nchi yetu unaruhusu/ inatoa uhuru wa mtu kutoa mawazo yake. Lakini mara nyingi naona mtu akigusia mambo ya muungano anaangaliwa tofauti. Pengine hata vurugu zinazojitokeza ni kwa sababu watu hawapati nafasi ya kutoa mawazo yao kuhusu muungano. Tuzungumze wanajamvi!
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,636
  Likes Received: 4,746
  Trophy Points: 280
  Jakaya Mrisho Kikwete ndiye anawazuia watu wasizungumzie Muungano.
   
 3. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180

  Sio JK Bali ni CCM, Ni vigumu sana CCM bara kushinda bila CCM Zanzibar na vivyo hivyo ni kama Ngamia kupita kwenye tundu la sindano CCM Zanzibar kushinda bila kubebwa na CCM bara
   
Loading...