Kiby
Joined
Likes
1,374

Profile posts Latest activity Postings About

  • Kiby
    MAANDAMANO KESHO HAYAPO.
    Yale maandamano yaliyokuwa yameandaliwa na taasisi zilizojinadi kuwa za kidini hayatakuwepo. Akizungumza mmoja wa waliokuwa waandaaji na ambae angezungumza katika maandamano hayo ya kumuunga mkono JK kwa kupambana na rushwa alisema, 'unajua bwana jashi la polisi limesema haitaonyesha sura nzuri maana yawezakutafsiriwa kuwa JK anatumia dini kuvuruga nchi. Pia mzee mwenyewe yaani rais amezungumza nasi kutoka Moshi katusihi tuachane na huo mpango kwa sasa' hivyo ndivyo alivyojitetea huyu mwalimu wa mihadhara ya usiku kijuweni kwake.
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…