Cafew ikwiriri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cafew ikwiriri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, May 27, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Je mliopo mkoa wa Pwani mnayajua yaliopo mjini , kuna watu inasemekana wameuawa na polisi na kuna vurugukubwa sana na wananchi wameamuriwa wasitoke nje.
  Kuna mapigano kati ya polisi wakulima na wafugaji ,Tanzania inakwenda wapi wakati wa Mwalimu mambo haya yalikuwa ni ajabu na aibu.
   
 2. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Tanzania ni nchi ya Amani!!
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  swala la amani nazani sometime tunageneralize tu-
  kama wameweka curfew ikwiriri nawashangaa sana-curfew inatakiwa kuwekwa zanzibar-si huko-utazan kuna watu wana kengeza za ubongo-shida ipo kule wao wanafanya huku
   
Loading...