Ccm haina kiongozi

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152

kwa kauli za nape inaonesha hakuna kiongozi madhubuti ndani yake.
1.hakuna fisadi aliyeadhibiwa hata mmoja sababu ndio walioweka ilipo ccm
2.nape hajui anawakilisha chama kipi maana ndani ya moyo wake ana ccj.
3.ukimfuatilia nape anajitangaza yeye badala ya chama hakuna alilohaidi
hata moja limefanyika.
4.badala ya kujikita jinsi ya kujiandaa baada ya uchaguzi 2015 yeye anapoteza muda mwingi kuangalia chadema wana mikakati yao na kuikopy mfano mzuri vua gamba vaa uzalendo( ujinga mtupu )
5.kupoteza muda mwingi kujibizana kwenye mitandao na magazeti
6 hatuelezi wana ccm mbona uwt imekufa,wazazi imekufa uvccm imekufa.
7.kujiona yeye bila nguvu ya wana ccm wote anaweza kukipeleka chama kwenye daraja jipya.
8.kutowasikiliza waasisi wa chama kuona wamekosea wapi ili wajikomboe
​na kwa mtaji huu naomba niseme wazi huyu ndie anayeimaliza ccm kabla ya 2015 alamsik.
 
Back
Top Bottom