Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwakilishi wa mkurugenzi wa Kilolo John Kiteve akijibu maswali katika mdahalo huo ambao ulipaswa pia kuhudhuria na mbunge wa jimbo la Kilolo Prof.Peter Msolla Na Francis Godwin,Blog MBUNGE...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mheshimiwa Rais alisema wazi wakati yuko Tanga kuwa wananchi wanapaswa kuzipata hizi taarifa za wakaguzi wa mashirika ya umma kama CAG na Kamati za Bunge. CAG kaweka baadhi kwenye mtandao lakini...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
KATIKA siku za hivi karibuni umeanzishwa utamaduni wa ajabu katika nchi yetu, ambapo mawaziri wanaoondolewa au kuachwa katika Baraza la Mawaziri wanakimbilia katika majimbo yao ya uchaguzi siyo tu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NAPE akiwa misenyi amewataka vijana wa ccm kuachana na sh tanotano ili kukijenga chama. tiliwaambia ccm ni chama cha kifisadi wakaja watu humu jf rejao,ribosine,malaria sugu,na wenzao kutetea...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Akiongea katika mkutano uliofanyika leo Jangwani mwenyekiti wa CDM mkoa wa Tabora alitoa mpya kwa kusema kamwe CDM haitaacha kuisema CCM na serikali yake kwani inafanana na muumini ambaye atasali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF! heshima kwenu naomba kujuzwa kama mheshimiwa Mpendazoe alikata rufaa kwenye kesi yake ya kupinga matokea ya ubunge segerea au amekubaliana na zile dhuluma za wazi wazi!!nawasilisha!
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Mengi yalizungumzwa hasa katika uchaguzi wa mwaka 2010 kua jimbo la sumbawanga lilikumbwa na siasa za udini kwa baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na masuala ya kampeni. Mambo kama hayo...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
  • Closed
Katiba ya CHADEMA inaruhusu kuanzisha tawi dogo la CHADEMA endapo wanachama wafikapo 30 watapatikana, katika JamiiForums naamini kuna wapenzi wa CHADEMA zaidi ya 30 hivyo tunaruhsiwa kuanzisha...
12 Reactions
217 Replies
14K Views
Baada ya CCM kuanzisha kile kilichoitwa kujivua Gamba wamejikuta Wakiitwa Chama Cha Magamba na Huku Mtaani mtu ukimwita Gamba anaweza kukupiga vibaya. Baada ya Kubatizwa Jina na "Gamba" vijana...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Swali hili labda ni swali kubwa na la msingi ambalo watu wanahitaji kuona linajibiwa wanavyoona CDM inajipanga kushika madaraka. Haitoshi kuunga mkono CDM kwa sababu ya kuchukia CCM au...
10 Reactions
51 Replies
5K Views
We need change not history. CCM waondoke wawapishe chadema halafu kama wakishindwa basi miaka mitano baadae tunarudisha magamba. Mie natabiri kifo cha CCM kama kile chama cha kaunda wa zambia...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Ikiwa ni day1 tunaomba updates kwa wowote mlioko maeneo husika Hakuna kulala...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
When today you think of China you think of apolitical country run by colorless men who are quite obsessed and confident talking about detailed technical and economical data than attending a...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nadiriki kusema M4C na gwanda operation ya chadema ni starategy nzuri lakini wamekosea mahesabu... Hii ilitakiwa kuanza si chini ya mwaka mmoja na nusu au mmoja kabla ya 2015. CCM kama wanaweza...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi nchini, tumeshuhudia baadhi ya watu ambao walijiunga na vyama vya upinzani na kuviharibia mwelekeo. Tulimwona Augustine L. mrema, Dr. Masumbuko Lamwai, Mabere...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Baada ya Makamanda wa wa ukweli wa CDM kufanikisha uzinduzi wa Movement for Change (M4C) kitaifa, na kuvua Magamba mengi ya kutosha (zaidi ya 3,000) leo katika Viwanja vya Jangwani Viwanja vya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwanza kabisa, 2jue nn maana ya NGUVU YA UMMA? kwa vyoyote utakavyo itafsiri "nguvu ya umma" mfano wake mzuri unaweza kuchukua tukio lililo pelekea aliekua rais wa Misri Husni Mubarak, KUJIUZULU ...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
  • Closed
Kile kikundi cha UAMSHO kinachodai zanzibar huru kikidai hakitaki muungano sasa hivi kinatawanywa na FFU kwa mabomu ya machozi na risasi baada ya risasi kadhaa kupigwa hewani. Wapo hapa Kisonge...
0 Reactions
102 Replies
11K Views
Saturday, 26 May 2012 21:59 Mrs. Tabitha Siwale Na Florence Majani NILIPOFIKA nyumbani kwake maeneo ya Kawe kwa Warioba, nilidhani nitamkuta ndani. Wakati nabisha hodi, ninamuona akivuka...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Leo umeme umekatwa mapema jioni na wamerejesha saa hizi, saa 4 usiku. Sijui ni hila ili tusione hekaheka za CDM za leo huko Jangwani? Tanesco wametumiwa kisiasa?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom