Nape azindua mpya ya CCM "Vua gamba vaa uzalendo" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape azindua mpya ya CCM "Vua gamba vaa uzalendo"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tangopori, May 26, 2012.

 1. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,614
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Katibu mwenezi wa Ccm bwana nape nauye amezindua movement ya 'vua gamba vaa uzalendo' ameongea hilo katika eneo la Misenyi mkoani Kagera.
  Source:chanel 10 taarifa ya habari saa 1usiku.
  My take kweli magamba hali yao ni mbaya mwaka huu wanalo! Magamba kwishney! Lol!
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  hainogi......
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wamechoka miili mpaka akili.
   
 4. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Anakumbuka shuka asubuhi?pole yake!
   
 5. Dennis_elisha

  Dennis_elisha Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeah, nimemwona eti anasema hata kama wanaccm wote watahama na kubaki peke yake eti ccm haitakufa,,,

  WANATAPATAPA, UKWELI WANAUJUA KWAMBA KIAMA CHAO NI 2015,,,,,
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yaani hainogi hata wakichanganya na chachandu lol.....Nape bana huwa hanaga haya kabisa, kazi yake kudandia tuuuuuuuuuu, shame on him!
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hapo anatumia fumbo kuipigia chapuo chadema kwa sababu huwezi kuitenganisha chadema na uzalendo.
  big up NAPE vua gamba vaa ....................
  tunakusubiri na wewe uvue.
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  huwezi kuwa mzalendo bila kuvaa gwanda.

  anapoteza muda na tabia yake ya kopi pesti
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Cut & Paste - as always! CCM hakuna kitu tena kichwani zaidi ya kuigiliza!
   
 10. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Nimecheka sana! Halafu habari za michezo akaonekana anacheza gofu.
   
 11. k

  kibunda JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kumbe nae ameikubali hii dhana. Inafurahisha sana.
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  mohamedi, nimeshindwa kuelewa ni kitu gani hasa kimempeleka Nape Missenyi? Kwenye michuzi anaonekana akiongea na wanahabari huku kukiwa na jeneza la mpigania uhuru karibu. Then picha nyingine anaonekana anacheza golf! What is he doing in Missenyi? Msiba au Golf?

  Na kuhusu msiba, kweli CCM au niseme serikali ya CCM imeshindwa kumpeleka mkubwa mmoja kwenye haya maziko ya mpigania uhuru? Kumpeleka Nape ni madharau makubwa kwa marehemu mzee wetu afadhali mara mia wasingepeleka mtu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  maali ishatolewa
  Maali ishatolewa

  CCM wameolewa
  CCM wameolewa...
   
 14. ALEX PETER

  ALEX PETER Senior Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nape Nnauye Juhudi za kupunguza nguvu ya CCM kwa kuokoteleza wanachama wa CCM waliofulia zilianza miaka 20 iliyopita (1992-20121)!! Mpaka leo hazijazaa matunda! Ongezeni bidii, atafutaye hachoki! Lakini pengine badilisheni style. Mtu hatishwi na kinyago alichochonga mwenyewe!!
   
 15. ALEX PETER

  ALEX PETER Senior Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Source ukurasa wake wa facebook
   
 16. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,614
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  maali tena? Ndo nini mkuu?
   
 17. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Angalia wasikuita Lusinde
   
 18. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Atacheza mpaka ngoma ya kwao lkn mwaka wao huu, tumekuja kuwashika.
   
 19. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Utawajua tu, watacheza ngoma ya CHADEMA mpaka watapoondoka magogoni.
   
 20. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  CCM HALI mbaya!
   
Loading...