Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ZAIDI ya wanachama 1000 kutoka vyama mbalimbali wengi wao wakiwamo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamevihama vyama vyao na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbali na wanachama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Monday, 28 May 2012 09:29 ​ Raymond Kaminyoge na Daniel Mjema MWANASIASA mkongwe nchini, Peter Kisumo amehoji hatua ya mawaziri wawili waliong'olewa na Rais Jakaya Kikwete kutokana na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamaa amesaidia kwa kias kikubwa sana kuinua chadema kwa mtazamo wangu, kila mikutano anayoenda kitendo cha kuonekana around lazma watu watake kumuona jukwaani angalau atoe ata neno kama sio...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Soma habari hii kutoka Tanzania Daima ndiyo utagundua Watanzania bado tungali na safari ndefu kufikia azma ya maisha bora kwa kila mmoja wetu. Wazee 380 waapa kuhama na Maige na Ahmed...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania! Hoja ya jumuia ya uamusho ilikuwa hawautaki muungano! Lakini tayari rais wa jamuhuri ya muungano alikwisema muungano haujadiliki lakini pia cc ya ccm ilikwishasema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
STATEMENT FROM AMBASSADOR ALFONSO E. LENHARDT ON RECENT UNREST IN ZANZIBAR In the face of the unrest that occurred in Zanzibar on May 26-27, I lend my voice to the many others who have called...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Sheria CDM ambaye pia ni mnadhimu mkuu wa Upinzani bungeni Tundu Lissu amempongeza Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Heche na kuunga mkono kauli yake thabiti kuhusu mbunge wa Maswa...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari zilizotufikia ni kwamba rais Yoweri Museveni anaweza kung'atuka atakapofikisha miaka 75. Hii ni kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa na Museveni mwenyewe alipohojiwa na shirika la habari la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MBUNGE wa Maswa Mashariki, John Shibuda (Chadema) ameibuka na kusema kuwa kama angekuwa na uwezo, angehakikisha kuwa chama chenye kauli za uchochezi kinashikishwa adabu na kwamba hadi sasa hajaona...
2 Reactions
98 Replies
7K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani hapa, kimekutana na wakati mgumu kwa kuumbuka mbele ya Katibu wa Taifa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa baraza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tayari kwa mazungumzo na Watanzania wanaoishi Marekani. In an hour......
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Takwimu zisizo na shaka yoyote zinaonesha kuwa nchi ya Tanzania yenye wakazi wanaokadiriwa kuwa milioni 40 inayopatikana mashariki mwa bara la Afrika ina utajiri mkubwa kupita nchi zote duniani...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau,nayaandika haya baada ya kufuatilia mtiririko wa maneno na matukio ya hapa na pale yanayojiri huko nyumbani hasa juu ya hatma ya muungano wa Tanganyika na zanzibar.kwa mtazamo wangu itakuwa...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa NIDA,kupitia mkurugenzi wake,wamekanusha kubaini vyeti feki ktk JWTZ na Polisi,katika tamko hilo NIDA wamesisitiza kuwa wao hawana uwezo wala mamlaka ya kubaini...
0 Reactions
38 Replies
9K Views
Tafadhali wajf nisaidieni,nimeshanunua tambara kubwa tayari kwa kuandika ujumbe na kuanza safari kwa mguu toka tabata kimanga kuelekea jangwani for m4c hapo kesho,sasa naomba unisaijie ujumbe gani...
7 Reactions
228 Replies
16K Views
Ni kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC1 kimetoa makala inayosifia halmashauri ya wilaya ya Ukerewe inayoongozwa na CHADEMA kwa maendelea katika nyanja zote na usimamizi mzuri wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana nilikuwa mmoja wa wahudhuriaji wa mkutano pale Jagwani wa M4C, ukiacha kasoro chache lakini umati wa watu hasa vijana ulikuwa na mkubwa sana, pia nilipata fursa ya kutembea kwa mąndamano...
11 Reactions
52 Replies
5K Views
WAziri KIVULI, CHADEMA, WAZIRI WA AFYA, TAKUKURU shirikianeni kutusaidia sisi wanyonge wa Mkoa wa LIndi, juzi 23/05/2012 katika kijiji cha RUtamba alikufa mama mjamzito kwa gari ya wagonjwa...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Hatimaye tar 26/05/2012 pale Jangwani nilivua gamba na kuvaa gwanda, licha ya kuwa niliichukia ccm toka utotoni lakini najihesabu kuwa nimevua gamba kwa sababu sifuatazo. 1) kwamba niliayependa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Tizama hii picha. Nafikiri hata ITV walishtukia wakawa wanaimulika sana. Tuijadili au tuipotezee, lakini hii ni pure conspiracy theory.
2 Reactions
73 Replies
8K Views
Back
Top Bottom