Uvunjifu wa amani zanzibar ni matokeo yaudhaifu wa ccm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uvunjifu wa amani zanzibar ni matokeo yaudhaifu wa ccm.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Michael Mwakyusa, May 28, 2012.

 1. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wakuu mimi nafikiri kinachojiri zanzibar sasa na si ajabu hata huku bara ni kigugumizi cha serikali ya ccm kukemea kwa nguvu zote udini unaozidi kuota mizizi hapa nchini hasa hii mihadhara ya kukashifu dini.
   
 2. K

  Kicheche Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  usikurupuke kuandika mada kabla ya ya kuelewa ni nini chanzo cha vurugu zanzibar, tatizo la zanzibar sio dini kwani wao asilimia 99 ni waislamu!, tatizo wao hawautaki muungano ambao wao wanauona hauna faida kwao
   
Loading...