Watumishi wa serikali hasa walimu tusipo ongezewa mshahara unaokidhi tufanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watumishi wa serikali hasa walimu tusipo ongezewa mshahara unaokidhi tufanyeje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kayabwe, May 27, 2012.

 1. Kayabwe

  Kayabwe JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 333
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana jf serikali inapanga bajeti mpya na karibuni mwaka mpya wa serikali unaanza.Sasa je watumishi wasipoongezewa mishahara?Je tufanye je?Naomba kuwasilisha.
   
 2. v

  vngenge JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Jibu unalo, c umeona athari ya akili za mbayuwayu watoto wasiojua kusoma, kuandika wala kuhesabu wamefaulu kuingia sekondari. Walimu ndicho walichokifanya. Ulishawahi kusikia hii kabla ya hapo?.
   
 3. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,710
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Mitanganyika bana,

  yaani wewe ndio mwenye tatizo kisha unataka watu wakuambie cha kufanya.

  Akili za kushikiwa hizi! Ndio maana wanasiasa wanawatumia kama maboya, maana hamna misimamo.
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Jiunge CUF
   
 5. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walimu wanasema mgomo wao baridi utaisha 2015!baada ya mwanaasha kumaliza shule.
   
 6. m

  msnajo JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,129
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  shikilieni uzi huo huo mliokwisha uanza. Ninyi hamna haja ya kugoma actively, do it in a passive way. You can rely on tango pori to show how much you are not satisfied with payments...
   
 7. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
   
 8. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii sio njia nzuri, wangeweka mikakati ya kuwafelisha watoto wa vigogo hata kama wapo shule za kulipia. Inaitwa operesheni V8.
   
 9. Fofader

  Fofader JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 817
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Nyie watanzania ni wavivu hamwezi kufundisha.
  Nyie watanzania hamna skills za kutosha.
  Halafu waalimu wenyewe mmesoma UDSM, chuo kinachotoa mafisadi.
  Tutaleta watu wa nje watusaidie!
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,294
  Likes Received: 4,263
  Trophy Points: 280
  mtawatoa wapi? Cuba?
   
 11. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,874
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  POLISI Makao Makuu Dar, Wanaogopa Wananchi wa Zanzibar, hawawaingilii kichwa kichwa kama Wananchi wa Arusha
   
 12. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,235
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  mkuu vp,naona una hasira sana na polisi?
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,697
  Likes Received: 2,784
  Trophy Points: 280
  Waalimu ndo wapiga kura wakuu mlioiweka hii serkali madarakani. kwa njaa za posho ya kusimamia uchaguzi mtaendelea kubaki na vilio milele.
   
Loading...