Niko Zanzibar hali si shwari nimeamua kuachana na mikutano yangu na kurudi bara. Kila kona mabomu, pia maduka yamefungwa na vyakula naona ni ghali ghafla.
Muda huu naandika niko kwenye boti...
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze miaka 20 iliyopita, siku zote CCM imekuwa ikiuchukulia Muungano kama mtaji wao wa kisiasa (political capital) dhidi ya vyama vya upinzani.
Walileweshwa na...
Wakuu salam,
napendekeza re-mix ya hii nyimbo kwa style ya kuweka beti ambazo zitaiwezesha nyimbo hii kutumika kwenye uhamasishaji wa kuwaelimisha watanzania nani anasababisha vitu kupanda bei, na...
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili...
Hata sisi wana ccm kwa jinsi tunavyoona nchi yetu inavyokwenda tuko ccm kimtazamo tu lakini mioyo yetu tuko Chadema kwani wanataka kutukomboa kutoka kwa hawa wakoloni weusi. Wa Tanzania tumefika...
Tanzania has spent over 12bn/- in the preparations for the African Development Bank Group meeting taking place in Arusha.
The chairman of the organizing committee, Mr Ngosha Said Magonya stated...
YAZOA WANA CCM KILA KONA YA NCHI
na Waandishi wetu
WIMBI la viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) limezidi kushika kasi...
Vurugu inayoendelea zanzibar inanikumbusha wimbo mmoja wa zamani wa Chakachaka Ivone uitwao let them go,nilikuwa naupenda kwani nildhani enzi hizo alikuwa anamwimbia Mandela aachiwe.Ni sawa na...
Baada ya Baadhi ya vyombo vya habari kutoa habari kuhusu kuwepo kwa fomu ya kujaza kupinga Muungano.
Tayari misusuru mikubwa ya watu kujitokeza kujaza fomu hiyo imekuwa kubwa.
Tayari fomu hizo...
Katika hatua nyingine, CCM kimetangaza rasmi kuanzisha kampuni za biashara na kuimarisha mapato kwenye miradi yake ili kuwa na nguvu ya kifedha na hivyo kujiepusha na fedha chafu zinazoweza...
Yusuf Makamba ametunga vitabu wiwili:- Binadamu na Kazi na Ukweli kwa mujibu wa Biblia na Kurani Tukufu suna za Mtume na Sheria za nchi. Vilizinduliwa na makamu wa rais Dr. Bilal.
Vuguvugu la mabadiliko limeshika kasi kila kona ya nchi,Linalopangwa na Mungu hakuna wa kuweza kulizuia ndiyo maana zile juhudi za kukwamisha mikutano ya utambuzi wa kifikra inayofanywa na polisi...
Mimi kama mmoja wa wanachama waandamizi wa Jamii Forums ambapo nimekuwa mwanchama kwa karibu miaka mitano sasa tangu ikiwa Jambo Forums kabla ya kubadili jina na kuwa Jamiiforums nimekerwa sana na...
Habari za majukumu wana JF naomba niseme kwamba ni mara yangu ya kwanza kupost topic humu barazani ila nimekuwa nikisoma sana post za wenzangu na kuelimika pamoja na kujua mengi juu ya hatma ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.