Chadema wafunika SAUT - Mwanza

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF wakati jana ukifanyika mkutano mkubwa pale Jangwani Makamanda wa CHADEMA waligawana viwanja ambapo Chiku Abwao alikuwa Ismani huku Makamanda Conchesca Lwamlaza(mbunge viti maalu kagera) Lucy Owenya(Mbunge viti maalum Kilimanjaro)na V J Nyerere waliunguruma katika viwanja vya Swea Nyamagana na Chuo kikuu cha SAUT,sambamba na kugawa vyeti kwa wahitimu(CHASO) chadema students association
Pia wana chama wa CCM 32(mabalozi)walikabidhiwa kadi za CHADEMA na Leo watakuwa Kemondo bay na Misenyi
Nawasilisha
 
Wana JF wakati jana ukifanyika mkutano mkubwa pale Jangwani Makamanda wa CHADEMA waligawana viwanja ambapo Chiku Abwao alikuwa Ismani huku Makamanda Conchesca Lwamlaza(mbunge viti maalu kagera) Lucy Owenya(Mbunge viti maalum Kilimanjaro)na V J Nyerere waliunguruma katika viwanja vya Swea Nyamagana na Chuo kikuu cha SAUT,sambamba na kugawa vyeti kwa wahitimu(CHASO) chadema students association Pia wana chama wa CCM 32(mabalozi)walikabidhiwa kadi za CHADEMA na Leo watakuwa Kemondo bay na Misenyi Nawasilisha[/QU
 
Kimsingi CHADEMA ni chama chenye watu makini,ndiyo maana magamba wachache waliopo SAUTwanajifungia vyumbani,hawana hata ofisi wanasubiri misaada ya Lowassa bcoz siyo wabunifu.Mungu awabariki makamanda wote!
 
Mimi nawapenda saut sn,ila wenje aende ungumarwa,kwimba,miswingwi;misasa.
 
Naomba makamanda wafike Rorya kwa L.cairo.mzoe wanachama,Kuruya,Kukona,Kinesi,Komuge,,Makutano,irienyi,kyabaibi,Buturi,utegi,Shirati,kanyakrere.na nk.
 
Nilikaa mwanza nakuambia, wale ni waelewa na siyo maparachichi kama wanaosubiria pilao, t.shirt na kofia na kusombwa kwa malori kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani. PeoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzPower
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom