Ccm haiwezi kutenganishwa na fujo zinazotoke ikiwamo uchomaji makanisa

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Napenda nitoe rai yangu juu ya hali tete inayoonekana tanzania kwa sasa:swali ni je CCM inahusika/haihusiki na fujo hizi?
*Tumeshuhudia mauaji mengi ya raia wasiokuwa na hatia na wanaodai haki zao yakifanywa na jeshi la polisi arusha,shinyanga,mara n.k
*Tumeshuhudia wanachama na viongozi wa chdm,cuf wakiuawa na kujeruhiwa kwa wabunge wa chdm kwa kile kinachodaiwa eti wameasi ccm na kukisuport chdm
*Fujo za zanzibar hazijaanza leo.kuna jeshi la polisi.je wanafanya kazi gan?serikali ya ccm imeshindwa kuzuia hali hii?ni kwa nini watuhumiwa hawa hawachukuliwi hatua?
Ikumbukwe suala la udini ni mbinu chafu ilyoibuliwa na ccm kuwa chdm kinasuportiwa na wakristo ili kuwagawa watz na kiweze kujishika kwa waislamu!
FUJO ZINAZOTOKEA NCHINI ZINA MKONO WA CCM NA HAKUNA NAMNA MNAWEZA KUJITOA KATIKA HILI.MMETUMIA DINI KUTUGAWA NA MADHARA YANAANZA KUONEKANA.
CCM MTAJUTIA MNAYOTUFANYIA
 
Back
Top Bottom