Kwa wale wanaokumbuka usumbufu na taabu tuliyopata madaktari walipogoma mapema mwaka huu naamini leo mna hamu kujua katakachojiri.Meza ya majadiliano kati ya docs na serikali imekuwa ya usiri mno...
Mi sijui niseme nipo nyuma ya ratiba, Hakika Mi sijui. Naombeni mwenye majibu sawia anijuze tu!
Ratiba ya Katiba huku Mikoani inawafikiaje walengwa? Mi ningependa kumwona kila mtu anajaji na...
tumesikia kwenye vyombo vya habari kuwa mawaziri wapatao watano wamerejea majimboni kwao huko mikoa ya kusini kwa kile kinachoelezwa kuwa kufuta nyayo za chadema katika majimbo yao.mimi nadhani...
Wakuu habari,
Nikifuatilia minadala mbalimbali haya uhusuyo Muungano au maendeleo na umaskini wa Mtanzania huwezi kutaja bila kumuhusisha Nyerere.
Napenda kufahamu;
Mapungufu ya Nyerere...
Chama cha mapinduzi kitatumia mbinu ya kujijengea imani kwa wananchi kwa kuwatumia mawaziri watendaji kazi wasio na kashfa kama akina Magufuli ili kupangua hoja za CHADEMA katika harakati za...
CHADEMA hawakutoa usafiri watu walikuja wenye. CCM wanatoa usafiri Dar es salaam na mikoani bure. Je ni chama gani kinapendwa kati ya kile kinachotoa usafiri bure na kile ambacho watu wanajilipia...
Ni uongozi mbovu au duni unaogopa kuamua au kutekeleza mambo yaliyokwisha kuamuliwa (Edward M.Sokoine, march.1983) Ndugu wana jf,nimemua kuanza na nukuu ya Sokoine ili tuweze kupima...
Hii ni kauli ya Ridhiwani Kikwete katika group ya Chadema vs ccm
"Kwa matokeo haya , sio kweli kuamini kuwa wapinzani wetu wanapanda, ila ni sahihi kujiangalia na kujiuliza kwa nini tumeshuka?"
Baada ya mkutano mkubwa uliohutubiwa na Makada wa CHADEMA, Kunti Yusuph, Josephat Isango, Mh. Anthony Komu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Mzee Silvesta Masinde, Waziri wa Maliasili na utalii...
Cdm ni chama ambacho kimetokea kupendwa na wananchi wengi hasa vijana na wasomi wengi hivyo kuaminika kuwa huwenda ndio chama pekee chenye wasomi wengi kuliko chama chochote tz na kimekuwa tishio...
Habari ndio hiyo Watanzania wote wataona live kutoka jagwani
Mkutano wa ccm jagwani utaoneshwa moja kwa moja kutuka TBC na clouds TV
Bado Mzungumzo:A S 100: na vyombo vingine vya habari...
Wanataka ndani ya siku saba serikali ya CCM iwe imefanya haya:
1. Ndarichako awe amejiuzulu
2. Uwiano wa wafanyakazi wa NECTA kati ya Wakristo na waislam
3. Kuundwa tume huru kuchunguza...
Chama cha makonda mkoa wa Dar-s-salaam (CHACHAMADA) na baadhi ya wamiliki wa mabus hayo ya usafiri ndani ya jiji la Dar wamekutana leo alfajiri somewhere(secret meeting) na kwa pamoja wameridhia...
Siri nzito ya machafuko yanayoendelea mjini hapa, imefichuka.
Habari za kuaminika zilizopatikana jana kutoka Zanzibar, zinasema kuna kundi kubwa la wafanyabiashara wa Kizanzibari wanaoishi katika...
MKUCHIKA, GHASIA, CHIKAWE NA MEMBE WAENDA KUUZIMA, CCM KUJIPIMA NGUVU JANGWANI KESHO
Geofrey Nyang'oro, Mchinga | Mwananchi
VUGUVUGU la Mabadiliko (M4C) linaloendeshwa na Chadema katika mikoa ya...
Kitendo cha waziri wa miundombinu Mh Mwakyembe kutoa miezi mitatu kwa shirika la ndege kuanza kujiendesha ni uendawazimu. Ni sawa na mwanaume ambaye hajaacha hela ya chakula nyumbani halafu...
taarifa za uhakika nilizozipata toka kwa watu wa ndani wa ccm hapa manispaa ya kinondoni na baadhi ya viongozi wa vijana wilaya ya ilala na temeke ni kuwa ccm wameanza maandalizi ya magari aina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.