Hivi mambo ya Katiba Mikoani yanaendeshwaje? Mwenye kujua anijuze wajameni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mambo ya Katiba Mikoani yanaendeshwaje? Mwenye kujua anijuze wajameni!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LiverpoolFC, Jun 9, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi sijui niseme nipo nyuma ya ratiba, Hakika Mi sijui. Naombeni mwenye majibu sawia anijuze tu!

  Ratiba ya Katiba huku Mikoani inawafikiaje walengwa? Mi ningependa kumwona kila mtu anajaji na hila la Katiba.

  Ama ndio utakuwa waraka wa M/kiti wa chama tawala?

  Mi ckubaliani nayo hata punje!

  Mwenye full data kuhusu mambo ya katiba naomwomba atujuze!

  Nawakilisha JF Daima!
   
Loading...