Mkutano wa CCM kurushwa live ktk Clouds TV na TBC1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa CCM kurushwa live ktk Clouds TV na TBC1

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Jun 8, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Habari ndio hiyo Watanzania wote wataona live kutoka jagwani

  Mkutano wa ccm jagwani utaoneshwa moja kwa moja kutuka TBC na clouds TV

  Bado Mzungumzo:A S 100: na vyombo vingine vya habari yanaendelea nitazidi kuwapa update kadri mambo yatakavyukuwa.

  Kesho ni kesho

  Nawasilisha
   
 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hata wakikodi na CNN na BBC, Aljazeera, SKY News nanyinginezo duniani bado CDM iko juu funika mbaya...
   
 3. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Ccm kimekuwa chama cha upinzani sasa. Bila shaka wanaenda kujadili jinsi serikali itakavyo tutoa kwenye mkwamo.
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mimi nitakuwa naangalia Cartoon network na wanangu lakini nasikia mjumbe wa CCM anapita kuhamasisha kesho usafiri upo lakini wananchi naona wamezinduka hawataki fuso wanasema bila V8 kuwapitia hawaendi
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  I'd rather watch EURO on Super Sport...halafu pale hapaitwi Jangwani tena panaitwa CHADEMA SQUARE
   
 6. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,355
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  sifa ya kanga manyoya CCM OYEEEEEEEEE
   
 7. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nahimiza vijana wajitokeze kwa wingi kufanya zomeazomea ya kufa mfu...
   
 8. N

  Nyamizi JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 1,401
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Creativity sifuri,copy and paste kutoka CDM,wala hainogi kabisa.
   
 9. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Kama kawaida yao, watakodisha magari ya kuwaleta watu na kuwavalisha nguo za kijani na njano pamoja na kofia, na hilo ndo litakuwa kosa lenyewe. Tofauti na Nguvu ya Umma, watu wanakwenda wao wenyewe hakuna aliyevaa nguo za chama kuonesha kuwa wale ni watanzania wanaotaka mabadiliko kutoka katika hali tofauti na makundi tofauti, na sio wanachadema peke yao. Na watu wengine watakuwa ni wakereketwa wanaotaka kupima tofauti ya mkutano wa CDM na wa CCM, lakini katika mkutano huu wa CCM watakuwepo wengine watakaofuata rhumba pamoja na vocal za TOT.
   
 10. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Duu nasikitika sitaweza kushuhudia maana mda mtakao kuwa Jangwani ni mda ambao mara nyingi sana huwa nakuwa mtaani kuangalia mechi za mchangani mtaani kwetu na hata ukiangalia uzito wa hizi mechi ni mkubwa kuliko kukaa kuwasikiliza watu kama Wasira, Nape, Lusinde na hata JK mwenyewe.
   
 11. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kesho mataifa ulaya saa 10 jioni ni england na ufaransa,msipoteze hela zenu magamba watu watakuwa bize na europa cup
   
 12. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Mkutano wa jangwani sina wasiwasi CCM watafunika, kwani usafiri ni bweleleeee.Ninapata shida kama mikoani watafikia hata nusu ya rekodi ya CDM nilichoshangaa nikuona umati ambao hata CCM huwa nadra kupata kwa mikoa ya kusini lakini CDM wameweza.CCM wakubali yaishe na wao zamu yao kuanza kuwa wapinzani, lakini kurudisha anguko walilopata ni ndoto
   
 13. mashami

  mashami Senior Member

  #13
  Jun 8, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kaka umetisha hahahahahahaha vx v8,hammer,ferrari,kaaazi kwelikweli
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,763
  Trophy Points: 280
  Tangazo la usafiri hili hapa
  [​IMG]

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Jeykey, Mkuu ni haraka au kiswahili ndiyo tatizo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  TBC1 na Clouds msisahau kuonyesha watu wanavyoshuka kwenye malori kutoka kisarawe
   
 17. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Kama kawaida yao, watakodisha magari ya kuwaleta watu na kuwavalisha nguo za kijani na njano pamoja na kofia, na hilo ndo litakuwa kosa lenyewe. Tofauti na Nguvu ya Umma, watu wanakwenda wao wenyewe hakuna aliyevaa nguo za chama kuonesha kuwa wale ni watanzania wanaotaka mabadiliko kutoka katika hali tofauti na makundi tofauti, na sio wanachadema peke yao. Na watu wengine watakuwa ni wakereketwa wanaotaka kupima tofauti ya mkutano wa CDM na wa CCM, lakini katika mkutano huu wa CCM watakuwepo wengine watakaofuata rhumba pamoja na vocal za TOT.
   
 18. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,841
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Magamba kufanya mkutano uwanja wa Chadema Jangwani,mna sababu au kero gani za kuwaambia wadanganyika? Au kwa sababu Cdm tulifunika wiki 2 zilizopita hapo Cdm square nanyi mnadhani mtaweza kitu? Sasa mmebaki kutucopy and kupaste? Shauri yenu endeleeni kucheza kila ngoma tunayoianzisha nengueni kadri muwezavyo beats and sweet melodies tunazozigonga. Hizo ndo dalili za mwisho
   
 19. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,798
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Osh!!! "...VUA GAMBA, VUA GWANDA, VAA UZALENDO...!"
   
 20. t

  tara Senior Member

  #20
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wewe naye kesho ni kesho nini sasa??.....ujui kama msema kesho ni mwongo,tunasubiri uwongo wenu kesho..
   
Loading...