Wajameni,
nape yupo dunia hii kweli.
nataka atueleze maana ya kinyago wamechonga wao halafu kiwatishe.
swali kwake,je kama wamechonga wao iweje wakiige kwa kila kitu
tizama,
1. m4c ilifanyika...
It is plainly obvious that the African can really not run a state worth anything. Apart from a few exceptions, most of Africa is a diseases ridden destitute place run by thieves, goons and...
Ndugu wana jamii nimekuwa nashangazwa sana na kilio cha ccm kuhusu ukabila make wamekuwa wanawambia cdm kuwa wana ukabila. Kiukweli mi nakanusha sana kwa sababu zifuatazo:
heche ambaye ni...
Wanabodi mimi ninakaswali kadogo tuu kuhusu huyu bwana Chizi na waziri....
Watu wameshikili bango hili jambo bila kujua kiini chake, kwa harakahara tuu ni kwamba Chizi hakujiteu mwenyewe. Kama...
Nashangaa kuona kuna watu wanaona kitendo alichofanya MWAKYEMBE ni kibaya kwa kutaka kuhalalisha UOVU wa wale MAWAZIRI waliomtangulia.TARATIBU ZA UTUMISHI hazikufuatwa sasa mnataka aendelee na...
Nambari wani eeh, nambari wani ni CCM.
Wananchi jipangeni, Malori, Vyakula, Vinywaji kila kitu kimekamilika.
Twendeni Jangwani....!!
Vua Gwanda vaa Uzalendo.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Kauli mbiu yako ya "vua gamba, vua gwanda, vaa uzalendo" sio sanifu. Kwanza umeitohoa kutokana na ya Chadema ya "vua gamba, vaa gwanda"
Uzalendo ni kitu kisichoonekana bali matokeo yake ndio...
Mawaziri wa ccm waliojaribu kuzima moto wa chadema Lindi na Mtwara wazomewa leo Sophia Simba amezomewa katika kijiji cha nyangao jimbo na mtama, Mkuchika amezomewa jimboni kwake Newala katika kata...
Asalam Aleykum! ndugu zangu waislamu!
Hivi kweli haya madai tunayoyataka yana tija ama tu kwa kutokuchunguza mambo vizuri ndo tumefika huku?
Baraza la Mitihani limerekebisha kasoro iliyojitokeza...
Kuna makubaliano maalum kati ya Chadema na kundi la Sitta. Ilikuwa Sitta agombee urais ila kukatokea matatizo na ndio maana walimwomba Dr Slaa agombee hakuwa ameandaliwa. Mkakati mkubwa ni kuwa...
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose...
Ndiyo Wakuu, hesima kwenu. Baada ya ziara mbili za mwendelezo wa M4C wilayani Geita katka kata za Lwezera na Kasamwa, kesho makamanda wataendeleza harakati wilayani Kwimba,jimbo la Sumve katka...
Habari ndo hiyo kaa mkao wakula
Ilianza hivi
Ikaja hivi
Ikaja hivi akaanza kuwa mpweke cdm inamtenga
Mara ikawa Hivi Shibuda akiwa dodoma na JK
Mara ikawa hivi
Sasa...
Kwanza naendelea kusisitiza kuwa MR CHIZI hauhisiki na kuiingizia hasara billion 69 serikali ambazo ni pesa za kitanzania, kwa kuingia mkataba na ndege ya AB320 ijulikanayo kama AIRBUS ambayo...
Binafsi kutokana na hali ya ukiukwaji haki za binadamu na udhalimu unaoendelezwa hapa nchini kwetu napendekeza ocampo wa mahakama ya uhalifu wa kivita na haki za binadamu aje tanzania ili apambane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.