Ccm waandaa mafuso ya kutosha na mamluki kuondoa aibu jangwani kesho. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm waandaa mafuso ya kutosha na mamluki kuondoa aibu jangwani kesho.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Seif al Islam, Jun 8, 2012.

 1. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  taarifa za uhakika nilizozipata toka kwa watu wa ndani wa ccm hapa manispaa ya kinondoni na baadhi ya viongozi wa vijana wilaya ya ilala na temeke ni kuwa ccm wameanza maandalizi ya magari aina ya fuso yatakayotumika kubeba wananchi wa kawaida,wanacham,watoto , wazururaji na hata wapita njia katika sehemu mbalimbali zza jiji hasa wilaya za temeke na ilala na kuwapeleaka uwanja wa jangwani kesho ili kuondoa aibu ya wazi ya mahudhurio hafifu katika mkutano wao kesho.
  Mkakati huo unaoivishwa kwa pamoja kati ya viongozi wa makao makuu ya ccm pale lumumba na viongozi wa wilaya hizo umelenga hasa maeneo hayo wanayoyaita ya uswahilini ambako wanaamini kuna watu wengi ambao wanaweza kubebwa kwenye mafuso na kupelekwa huko jangwani.vita ya makundi inayoendelea ndani ya ccm pia imepewanafasi katika mkutano wa kesho ambapo kila kundi linajaribu kulionyesha kundi jingine kuwa limekwisha na wimbo wake hauna mvuto tena.(mafisadi na wapambanaji)
  aidha,ujumbe maalumu umesambazwa kwa viomgozi wote wa matawi kuwahamashs wanachama na watu wote kwa ujumla kujitokeza kwa ajil ya kwenda katika mkutano huo na kwamba uongozi wa matawi husika watawaandalia usafiri wa kwenda na kurudi.
  Kama hiyo haitoshi ,viongozi wa ccm makao makuu kwa kushirikiana na viongozi wa ccm wa hapa dar wameandaa wanachama mamluki wa cdm ambao watawapokew na kuwapa kadi kibao za ccm katika mkutano huo ili tuu kuonyesha kuwa bado ccm inakubalika.aidha miongoni mwa wanachama hao feki wa cdm wapo watakaovalishwa vyeo feki kama viongozi wa bavicha wilaya na hata mkoa ambao na watapokelewa kwa bashasha zote.
  Hiyo ni sehemu ndogo tuu ya mengi ya kitoto yaliyopangwa na ccm katika kufanikisha mkutano wa kesho jangwani.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  wanahangaika sana CCM...yaani kila kitu kuiga tu ...hahaa mwaka huuu mtashangaaa
   
 3. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Thanks sana mdau. Mhimu kesho ni picha tu. Gari likichoka engine ndo bac. Viva CDM
   
Loading...