Wed Jun 6, 2012 3:40pm GMT
By Kelly Gilblom
STONE TOWN, Zanzibar, June 6 (Reuters) - Royal Dutch Shell is stepping up efforts to help clear the way to explore for oil and gas in east Africa...
Kutoka jikoni, mh huyu amepatiwa tender ya kusafisha na kusomba uchafu wote, maeneo yote ya upanga na posta bila ya utaratibu kupitia kampuni yake mpyaaaaaaaa ya usafi, na kutupiliwa mbali...
Ndugu zangu
Rais wa Zanzibar DR. MOHAMMED ALI SHENI .
Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim SEIF SHARIF HAMAD.
Kumbukeni Allah S.w amekuteuni kuwa ni viongozi wa kuu, wa Taifa letu la Zanzibar,chini...
Less than four years remain before Dr. Jakaya Kikwete completes his second presidential term. And as the constitution bars the incumbent president to contest in the next general election...
Hivi waarabu hawa wana maslahi gani na Zanzibar kiasi cha kutaka kutuharibia amani. Ukiwasikiliza viongozi wa uamsho wengi wanazungumzia misaada kutoka kwa ndugu zao uarabuni. Je huo ukaribu wa...
Ninavyoamini,uimara wa chama au taasisi fulani hutegemea sana kiongozi au viongozi waliopo hapo.
Ili mtu ajue umahiri wa CHADEMA na CCM aangalie safu ya viongozi wake hasa wale wa ngazi ya juu...
Habari wakuu, binafsi sijui lolote kuhusu mwanasiasa wala sina elimu kuubwa ila nahitaji kujua yafuatayo:
1 - Kuna ulazima wa kukopa fedha kwa wahisani (hasa mataifa ya wazungu) kwa rasilimali...
Leo kutakuwa na mkutano wa chama cha CHADEMA hapa mkoani Iringa katika eneo la NYOLOLO na ILEMBULA, viongozi wa CHADEMA Iringa na Njombe watakuwepo kwenye mkutano huo ambao utaanza saa saba kamili...
:clap2:
Rais na viongozi wengine wa taifa hili wachaguliwe kwa kupitia mitihani, wapewe mitihani wafanye na atakayeonekana ana IQ kubwa kuliko woote Tanzania ndiye awe rais, wa pili awe makamu wa...
Jamani namuulizia huyu jamaa Fahmi Dovutwa aliyejiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya uraisi kupitia chama chake cha United Peoples Democratic Party (UPDP) yuko wapi na anafanya...
Mwenyekiti wa CUF kata ya Jamhuri manispaa ya Lindi na kampeni meneja wa mbunge wa lindi mjini na mwenyekiti wa serikali wa kijiji cha mbanje wa CCM na wanachama zaidi ya 890 wamejiunga na chadema...
CCM,kwa matendo yake ya kuweweseka,inaanzisha kesho kampeni za kiuchaguzi, dhidi ya CHADEMA,hapo Jangwani kesho. Wanalenga kujibu mapigo ya M4C. Mabango yao yanaahidi kuanika siri za wapinzani...
Ndugu wana JF, leo nimeshuhudia maelfu ya wakazi wa Bukoba wakifurika katika viwanja vya Uhuru Bukoba.
Wapenzi wa CHADEMA wamejitokeza sana, mjini hakukuwa na pakupita.
Kwa hali hii Nnape...
Imefahamika kuwa kila matawi mawili ya CCM katika Jiji la Dar es salaam yatapatiwa basi moja, iwapo wangepeleka ombi lao kabla ya leo (Ijumaa) saa 7. Ili kufanikisha mkakati huo wa kutoa usafiri...
Wadau habari!
Kiukweli hoja ya ndege ya rais ni ya mda kidogo. Lakini leo katika pitapita za hapa na pale jamaa zangu ikaibuka tena.
Baadhi wakadai kuwa ni cheap kwa rais kuwa na ndege yake...
CCM nao wameamua kufanya mkutano Viwanja vya Jangwani jijini Dar jumapili hii ili kushindana na Chadema, kwani wengi wa wanachama wao wamelalamika sana kuona Chadema imejaza watu sana kwenye...
Habari Wadau,
Ccm mkoa wa dar wameandaa barua kwenda kwa wajumbe wa nyumba kumi kumi na kuwaambia kila mjumbe ahakikishe anakuja na mobb ya watu 10 kumi na wamewaakikishia usafiri wa kwenda na...
huwa nasikia watu wakijidai kuwa kanda ya ziwa ndiyo mhimili wa siasa za Tanzania. bila kuungwa mkono na kanda hiyo kupata urais au kushinda nafasi kwenye vikao vya cc na nec ya ccm ni ndoto...
katika viumbe vyote vinavyoishi humu duniani vina tabia moja inayofanana nayo ni kupenda watoto wao haswa ikiwa ni wadogo huwalinda na kuwaongoza ila kuna kiumbe mmoja ananishangaza sana nae ni...
Nimepokea kwa mshangao kitendo cha kuandaa mkutano viwanja vya Jangwani kwa mujibu wa tangazo nililo liona pale chuo kikuu udsm. Tangazo hilo pamoja na mwaliko linasema kwamba hata usafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.