Mwl Julius K Nyerere: Anakumbukwa kwa lipi? na analaumiwa kwa lipi kama baba wa Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwl Julius K Nyerere: Anakumbukwa kwa lipi? na analaumiwa kwa lipi kama baba wa Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jun 7, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakuu habari,

  Nikifuatilia minadala mbalimbali haya uhusuyo Muungano au maendeleo na umaskini wa Mtanzania huwezi kutaja bila kumuhusisha Nyerere.

  Napenda kufahamu;

  Mapungufu ya Nyerere

  Mazuri ya Nyerere

  Mabaya ya Nyerere.

  Tuige kipi na tusiige kipi toka kwake kama kiongozi wa kwanza wa taifa hili.
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Badilisha title, ndio tuchangie "Mtakatifu" Nyerere sio baba wa taifa!
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Una maana gani?
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa kuua uchumi na kuwa kibaraka wa vatican alazwe anapostahili huko alipo full stop
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Akumbukwe kwa kutuwezesha kuitawala zanzibar
   
 6. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Acha bange
   
 7. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Jambo la msingi kabisa ni umoja,pili ni jitihada za kujenga viwanda na kuwa na maono ya kusimamia maslahi ya wakulima na wafanyakazi.Nitamuenzi Nyerere kwa vile alikuwa mwadilifu,aliendana na watz wengi wajinga,masikini na waliokuwa wakiishi kwenye miundo mbinu duni pasipo kuwaibia.Kama leo J.K ana mawaziri wasomi wengi tu lakini kuna uwizi na unyonyaji wa wazi haswa kwenye madini,je Nyerere asingekuwa mwadilifu angeiba kwa kadiri gani? Je,angesaini mikataba mingapi isiyo na tija kwa taifa? Angetorosha wanyama wangapi? Bila shaka nimeeleweka juu ya mchango wa Nyerere.Tukumbuke kwamba,alikiri kwamba kuna mambo ya kijinga pia yalifanyika ktk awamu yake:tatizo ni kwamba watu wanapenda kujadilh yale ya kijinga na siyo kufanya jitihada ya kukomesha kosa na kuendeleza yale mazuri ya Nyerere.Mfano,kutokukubali kukosolewa kwa uwazi kama viongozi wa sasa,kutokukubali kushindwa haswa mfumo wa kiuchumi wa ujamaa,pia mwalimu alishindwa kuwapa watu elimu ya umuhimu wa siasa za vyama vingi kitu ambacho kinaligharimu taifa
   
 8. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Ndie alie ifikisha nchi hapa.i hate him,katiba mbovu na upumbavu mwingine,japo hakuwa mwizi hicho ndicho kinampa heshima,lakin kavuruga sana future yetu vijana.
   
 9. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwani nini maana ya neno Mtakatifu?? Na kwa kuwa Nyerere alikuwa kiongozi wa Taifa na sio dini, Je ni jina lipi kati ya Mtakatifu na Baba wa Taifa linalompa heshima zaidi kwa taifa aliloliongoza?
   
 10. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mapungufu:
  - kukomalia kutumia kiswahili wakati hakitupeleki popote wa-tanzania

  Mazuri:
  - aliweza kuongoza nchi kwa muda
  mrefu bila watu kuyumba kiuchumi
   
 11. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Huko ni kukosa heshima dhidi ya Marehemu baba wa Taifa. Hata ukiyajua mabaya yake utamrekebisha vipi wakati hayupo duniani. Labda tujadili mazuri tu ili tujifunze kutokana nayo. Na zuri mojawapo ni kutupatia kimwana anayeitwa Zenji ingawa kwa sasa kapata bwana arabuni kamuonjesha ladha nyingine anataka ndoa ivunjike. Hataki muungano huyu mwenzetu Zenji licha ya umeme wa bure na ulinzi bure
   
 12. H

  Hute JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,921
  Trophy Points: 280
  ajabu ya waislam wa tz ni kwamba, wanaamini kuwa, Tanzania inatawaliwa na ukristo, lakini hapo kwenye ukristo hawataji waumini wengine wowote wale, bali wakatoliki. ile saga ya wakatoliko wa enzi za zamani kuwa macruseders ulaya kuwachapa waislam, hadi leo kwenye vyuo vyao huwa wanafundisha kuwa wakatoliki ni watu wabaya sana pamoja na wayahudi, kuna chuki kubwa kama hiyo...lakini hapa tz, kuna wakristo wengi sana ambao si wakatoliki, na kwa sasa idadi yao inakuwa kubwa kuliko hata ya wakatoliki, kuna walokole wengi sana sana kila mtaa hapo bongo..makanisa yao ni maelfu na maelfu hadi imekuwa tishio kubwa kuisha kwa ukatoliki tz....kuna walutheran wengi sana sana, kuna waanglikana wengi, kuna wasabato, kuna moravian wengi sana, kuna AIC ya kisukuma wengi mno mno....lakini waislam hawayajui madhehebu haya, wenyewe wakisikia mtu mkristo wanajua ni mkatoliki, na kwasababu wamelishwa chuki dhidi ya wakatoliki basi kwasababu nyeerere alikuwa mkatoliki wanasema wakristo ndo wanawaonea...

  cha kuelewa ni kwamba, hapa tz zamani waliosoma wengi walikuwa ni wakatoliki kwasababu walikuwa na akili ya kujenga shule...baadae waprotestant na waislam pia waliwekwa kwenye mstari mmoja na wakatoliki kwa shule nyingi za kikatoliki kutaifishwa na waislam na waprotestant pia kusoma katika shule ambazo walisoma wakatoliki peke yao...yaan shule za seminari...seminari ya kikatoliki hawezi kusoma asiyemkatoliki....cha ajabu, waislam hawawezi kupambana hata na wale wakristo waliokuwa nyuma kama wao kielimu,...waprotestant wengi wamesoma sana sasa ivi, wana kazi nzuri watoto wao wanasoma sana na wanajenga shuel nyingi, lakini waislam wamelala fofofo hadi leo BADO WANAWALAUMU WAKATOLIKI...tuwashukuru wakatoliki kwa kujenga walau shuel chache, manake ingekuwa sasa kama somalia kama wasingejenga, na leo hii wasingekuwa wakatoliki waislam wangekuwa boko haram KUSEMA ELIMU YA KIMAGARIBI NI DHAMBI...mtalalamika hadi lini, mbona waprotestant hawalalamiki? ukiwa mtoto wa kambo shida ni kulalamika hadi mwisho.
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kuna threads nyingi tu humu JF zinazomzungumzia Mwalimu. Hakuna sababu ya kuanzisha thread hii kwa sababu maswali unayouliza yameshajadiliwa. Wapenzi wake wamejibu na wabaya wake vivyo hivyo.
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Kwanini usianzishe thread yako yenye hiyo title Tume ya katiba? Wahenga walisema pilipili usiyoila inakuwashia nini? Vipi jambo ambalo halikugusi kabisa wewe kama tume ya katiba unahangaika nalo? Huoni kama unapoteza nguvu, akili na maarifa kupigana vita ambavyo kamwe hautashinda? ninachojua mimi Nyerere yuko kwenye mchakato wa halali ndani ya kanisa katoliki!!! Kulikoni???
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Na Mwalimu aliwahi kusema hivi:


  "Hakuna jibu moja ambalo linaweza kutumika nyakati zote na mahali pote"
  (JK Nyerere tarehe 4.5.1965)

  Jambo la muhimu tunalopaswa kutambua ni kwamba, kila binadamu anafanya makosa lakini hatupaswi kujiridhisha na makosa yetu bila kutumia fikra zetu kutafuta ufumbuzi mkubwa kusahihisha makosa yetu.

  Tusimjadili Nyerere bali tujadili mitazamo ya Nyerere na relevance zake katika mazingira ya sasa, na jinsi gani tunaweza kuendeleza/kuboresha kukabiliana na changamoto za nyakati.
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Indeed! Ila watu tuliosoma usomi wa kulalili mitihani na kufaulu, hilo naona hatulifahamu. Tunaonge ongea tu na kupigana vita bila kujua tunapigania nini.
   
 17. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Title ya "Mtakatifu" ina mfaa sana kwa mchango wake katika kanisa akitumia mamlaka yake kama rais.
   
 18. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Mwacheni Apumzike Jamani kwa Neema...

  Kwanini Msiwajadili hao Walio Hai? Au ni kama Kichuguu?
   
 19. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu hata mmi sipingi mchakato "halali" mtakatifu nyerere amelifanyia mengi sana kanisa alipokuwa rais wa tanganyika. so he deserve the title.
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Kama yapi? yaseme tena kwa evidence ili walimwengu watoe hukumu ya haki. Kumbuka hata huo mchakato wa kanisa unahitaji kujua side zote za shilingi ili kutoa kitu ambacho ni sahihi na cha ukweli...
   
Loading...