Kauli mbiu ya 'Vua Gamba, Vua Gwanda, Vaa Uzalendo' kwangu mimi naona inaleta utata hata haileweki na nadhani inajichanganya na kujipinga yenyewe. Nakubaliana kwa asili mia moja na kauli ya 'Vua...
Kufuatia Wizara ya Maji kukaa kimya bila kujibu barua toka Ofisi ya Mbunge kwa zaidi ya mwaka mmoja, nimeamua kuchukua hatua za kibunge kwa kuwasilisha kwa Katibu wa Bunge, taarifa na maelezo ya...
Tayari maandalizi yameanza. yataanzia viwanja mbali mbali na kumalizia kidongo Chekundu ambapo viongozi wa kiislam watahutubia kwa kueleza jinsi ya baraza hilo lilivyokuwa kikwazo wa wanafunzi wa...
Na Jabir Idrissa - Imechapwa 06 June 2012
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) vimeanza kufarakana; na serikali yao ya pamoja inaweza kusambaratika wakati wowote, MwanaHALISI...
Uwajibikaji ndani ya taifa letu umekuwa msamiati kubwa,hii yote ni kutokana na sera mbovu za kulindana kimaslahi kutokana na kila idara kujaa wanamtandao.Wanamtandao hawa ndiyo wanao sababisha...
Jamani ndugu zangu wapendwa wa JamiiForum.. Nimejaribu kusikia japo kwa ufupi tu na kuamua kuzima TV kwani kauli za Magufuli zimenikwaza!!! Hivi barabara zinazojengwa Tanzania kwa misaada toka kwa...
ASEMA WANAOUNUNG'UNIKA WAKO HURU KUJIONDOA
Fidelis Butahe | Mwananchi | 7 June, 2012
SIKU nne baada ya kung'olewa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Paul...
Mkutano huu sioni kama una mantiki kubwa kama nilivyotarajia, zaidi ya kile nilichosema awali, show-off dhidi ya CHADEMA, na kukurupuka pale unaposikia hoja za upinzani kiasi cha kuji-contradict...
Taarifa nilizopata ni kwamba ccm wameandaa watu kwa ajili ya kurudisha kadi za chadema ili ionekane chadema haikubaliki kwa sana
source: mjumbe wa nyumba wa nyumba kumi ambaye ni jirani yangu...
Taarifa zilizofika dawatini sasa, baadhi ya viongozi Wa Mashina wa CCM,wametishia kususia mkutano wa kesho viwanja vya Jangwani ndani ya Jiji la DSM.
Viongozi Hao ambao wanalalamika kwamba...
Jangwani kungechangamka kama Shibuda angerudia CCM leo. Kama mkutano huo ulipangwa mapema kabla ya ule wa Chadema, basi Chadema wangefanya papara kuhusu Shibuda mkutano huo lingekuwa tunda lake...
Wadau,
Kuthibitisha tu kwamba even our mashirika ya umma na public firms ziko kisiasa zaidi, leo umeme hautazimika hata iweje nchi nzima ili kupisha propaganda za chama tawala. it is more likely...
Katika Taarifa ya Habari ya TBC1 ya saa 2 usiku huu, Bwana Nape Nnauye akiwa Songea anaonekana akimwagiza "rafiki yake" Waziri wa Ujenzi Mh. Dr. John Maghufuli aende Songea akakague ujenzi wa...
Ndugu Wananchi;
Napenda kutumia nafasi hii kutoa pongezi na shukrani nyingi kwa ndugu zetu wa Arusha kwa kuwapokea vizuri na kuwakarimu vyema wageni wetu hao. Nawaomba waendelee na moyo huo...
Wanabodi nipo mbagala maeneo ya kizuiani ile kampeni jaza uwanja imeanza gari lenye vipaaza sauti linasumbua wananchi Wana lalamika huu ni muda wa kazi wao hamasisha jangwani mbona mbona Hawawi...
Baada ya kutokea machafuko huko Zanzibar, UVCCM iliwashukia waislam na kutaka wachukuliwe hatua kali.
Huku Bara kuna madai ya Vijana wanaosema wameonewa na NECTA. wanaotaka Baraza hilo lifumiliwe...
dhamira yangu inanituma kuuliza kila siku niamkapo asubuhi nape anaipeleka wapi ccm,ukiangalia ziara zake zimedhihirisha upungufu fulani sijui ni ama hakubaliki na baadhi ya wanachama wake au kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.